😹😹 Hii ni maajabu! Na tukiona aibu wanatuita magaidi. Bro ni kubadiii.Bwana bro!
Halafu wamejikausha kama sio wao, aibu tutaona sisi! 😅
Gaidi mkubwa wewe🤣Shindii tatizo unanikataa ikifika mchana😆
Yaani eti Oktoba 29 takriban nusu nzima ya idadi ya Watanzania walijitokeza na kumpigia kura Samia 😂😂.Kwa samia na genge lake la wahuni wengine
Hapo unamsema TlaatlaahUkisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Hiki kituko kinapatika Tanzagiza tu, Wazungu wakituona kima tunalalamika ni ubaguziYaani eti Oktoba 29 takriban nusu nzima ya idadi ya Watanzania walijitokeza na kumpigia kura Samia 😂😂.
Hawa watu hawana hata ya akili ya kudanganya.
Huku Simiyu hakuna aliyeenda kupiga kura.Huku vituo vilikua waz walioenda kupiga kura hata robo ya waliojiandikisha haifiki
Eeeh! sikubaliani nawe!! nature ina namna ya ku prove matendo. Wamepigwa tambara la macho ili uongo utamalaki.Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Tena Wapinzani 16 wakiongozwa na ACT walisaini kukubali kushindwa na kukubali kashinda 98% , 31m kati ya 32mEti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Wanaohubiri maridhiano wanadhalilisha ushindi wa kishindo.Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Atakayekujibu tafadhali ni tag!Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Usalama wa taifa ndio drivers wa uhalifu wote wa uchaguzi anzia kura za maoni ndani ya ccm wao wana watu wao wanaowataka..njoo hadi kwenye vyama shikizi..hao chauma hawakustahili kupewa nafasi za viti maalum kulingana na katiba inavyosema kuhusu wabunge wa viti maalum..si unaona wana wabunge 3 wa viti maalum, kwa hiyo ccm ndio wamewachagulia chauma kulingana na mnavyotaka nyinyi..mnataja ccm mnawaacha wavurugaji halisi..ccm kilishakufa kitambo, tiss wanalitumia jina kudanganya wajinga, wakati ukweli ni wao ndio wanafanya uharibifu wote na si ccm! Hakuna ccm hapa..Tutajie Mkuu ni akina nani hao nasi tuwajue !
Mlipigia wapi mbona vituo vilikuwa na wasimamizi wakichat na askari wakilinda wanaochat maana wananchi hawakuwepo kupiga kuraNa wote tulitoka na tulipiga kura alfajiri kabla ya mandamano🤣🤣🤣
Nashindwa kualewa.
Mkuu miujiza hutokeaga🤣🤣🤣Mlipigia wapi mbona vituo vilikuwa na wasimamizi wakichat na askari wakilinda wanaochat maana wananchi hawakuwepo kupiga kura
😆😆😆😆Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Miujiza hiyo hata Mwamposa hanaMkuu miujiza hutokeaga🤣🤣🤣
Viwango vya akili vimeshuka sana.Kiukweli wanaudharirisha ushindi wa 98% yaani ushinde kwa kishindo halafu uanze kuhangaika kuomba maridhiano ya nini sasa wakat unaungwa mkono kiasi hichoo