Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hapo Sasa, wanakuja kina Lukas mwashambwa na tlaatlaah!Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia tu barabara na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Ni upumbavu wa kiwango cha kipekee kabisa.Hapo Sasa, wanakuja kina Lukas mwashambwa na tlaatlaah!
Umempiga mtu KO, Halafu uende useme,sema ni draw!Ni upumbavu wa kiwango cha kipekee kabisa.
Only in TanzaniaNi upumbavu wa kiwango cha kipekee kabisa.
Lakini Siri imelika kule Arusha,Kuna clip jamaa anawachana, kwamba walipeta juu Kwa juu SI kwa ushindi halali,wakamtema!Only in Tanzania
..ccm gani? Hivi ukikaa ukatafakari kwa kina wewe unaona ccm ndio wanavuruga uchaguzi? km ccm wanaweza kufanya hivyo pasingekalika hapa..nikikuuliza km kuna ccm jirani yako alisimamia kuharibu uchaguzi unaweza kumtaja? ni km wahalifu HALISI huwa hamtaki kuwataja wanaowatuma hata hao ccm wenyewe..Watu (ccm) wanafanya mambo bila kutumia akili kabisaThis defies logic
Tutajie Mkuu ni akina nani hao nasi tuwajue !..ccm gani? Hivi ukikaa ukatafakari kwa kina wewe unaona ccm ndio wanavuruga uchaguzi? km ccm wanaweza kufanya hivyo pasingekalika hapa..nikikuuliza km kuna ccm jirani yako alisimamia kuharibu uchaguzi unaweza kumtaja? ni km wahalifu HALISI huwa hamtaki kuwataja wanaowatuma hata hao ccm wenyewe..
Mapema sana! wasubiri walau nifike miaka 60Na watakutoa ubongo ,bora uogope mtoto mzuri😊
Na wote tulitoka na tulipiga kura alfajiri kabla ya mandamano🤣🤣🤣Bro nacheka hiki kituko cha nchi yangu, kuna maswali CCM huwa hawajiulizi au they are just shameless!!?
TZ ina watu wazima around 32M kwahiyo mwaka jana watu wazima wote walipiga kura na waliipigia CCM, hata kama aiseee! Who does this!
Zezeta yuleUkisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia tu barabara na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Watatumiaje kitu wasichokua nacho🤣Watu (ccm) wanafanya mambo bila kutumia akili kabisaThis defies logic
Aaah we niache🤣🤣Sema kitu kipenzi 😊
Bwana bro!Na wote tulitoka na tulipiga kura alfajiri kabla ya mandamano🤣🤣🤣
Nashindwa kualewa.