Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Hana akili kabisa hata za kuvuka barabara hanaUkisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Umejiuliza swali ninalojiuliza kila mara,kama mtu umeshinda uchaguzi kwa 98% maana yake "stastically"wanaokuinga ni wachache sana ,sasa kama kuna haja kufabya maridhiano fanya na wanaokuunga mkono,achana na vyama vya upinzani.....tatizo wanafanya makosa hawafikirii whata might come out of thatUkisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Utumie akili hata kidogo...ccm gani? Hivi ukikaa ukatafakari kwa kina wewe unaona ccm ndio wanavuruga uchaguzi? km ccm wanaweza kufanya hivyo pasingekalika hapa..nikikuuliza km kuna ccm jirani yako alisimamia kuharibu uchaguzi unaweza kumtaja? ni km wahalifu HALISI huwa hamtaki kuwataja wanaowatuma hata hao ccm wenyewe..
Umeandika kinyume.umejiuliza swali ninalojiuliza kila mara,kama mtu umeshinda uchaguzi kwa 98% maana yake "stastically"wanaokuinga ni wachache sana ,sasa kama kuna haja kufabya maridhiano fanya na wanaokuunga mkono,achana na vyama vya upinzani.....tatizo wanafanya makosa hawafikirii whata might come out of that
sahihisha MkuuUmeandika kinyume.
..kwa hiyo ni rahis kwake kuagiza hayo unayosema km mwenyekiti wa ccm kuliko kuagiza km rais? kwa nini unadhan mwenyekiti wa ccm anapokuwa mgombea haachii nafasi ya urais ili abaki na uenyekuti wa chama chake agombee kwanza..? Na anayeweza kuagiza ni huyo mwenyekit ccm taifa au hata mwenyekiti ccm kata nae anaweza kuagiza mtumishi yeyote wa serikali..Utumie akili hata kidogo.
Mwenyekiti wa CCM taifa akisema polisi na vyombo vya dola vingine vihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki, na pia wasimamizi wote wa uchaguzi wakabanwa vizuri na sheria za uchaguzi, uchaguzi utaharibika?.
Wewe ndio umeongea points ccm kama Chama hawana Uwezo huo, na wala hawana Nia chafu kwa Nchi Yetu. Hili jambo nashangaa kwa nini Wananchi na baadhi ya wanasiasa wanajifanya hawalijui..ccm gani? Hivi ukikaa ukatafakari kwa kina wewe unaona ccm ndio wanavuruga uchaguzi? km ccm wanaweza kufanya hivyo pasingekalika hapa..nikikuuliza km kuna ccm jirani yako alisimamia kuharibu uchaguzi unaweza kumtaja? ni km wahalifu HALISI huwa hamtaki kuwataja wanaowatuma hata hao ccm wenyewe..
Hii ni Nchi ya Mabeberu Mwenyekiti wa CCM mnamwonea na kumsingizia tuUtumie akili hata kidogo.
Mwenyekiti wa CCM taifa akisema polisi na vyombo vya dola vingine vihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki, na pia wasimamizi wote wa uchaguzi wakabanwa vizuri na sheria za uchaguzi, uchaguzi utaharibika?.
Zile damu za Watanganyika zaidi ya 20,000 alizomwaga October 2025 zinamtesa sana anahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa.Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Hawa wana akili za kula na kwenda kunya tu.Yaani eti Oktoba 29 takriban nusu nzima ya idadi ya Watanzania walijitokeza na kumpigia kura Samia 😂😂.
Hawa watu hawana hata ya akili ya kudanganya.
Bado tunatengeneza mazingira ya maridhiano ili yawepoKwani tarehe ya maridhiano ni lini?
Yaani kwamba 98% wamekukubali, 2% ndiyo wakunyime usingizi mpaka utake maridhianao. Mara mtu mmoja ndiyo anakwamisha, daaah tumefika pabaya sana. Wariddiane na ambao wako tayari gurudumu lisonge mbele na hii habari ya maridhiano ikome. Baada ya hapo atokee kwenye mkutano wa hadhara na kusema tumeridhiana, hapo ndipo atajua maana ya maridhiano.Ni upumbavu wa kiwango cha kipekee kabisa.
Angalia anavyowaogopa hao 98% wake. Tukio lolote la kijamii jitokeze na kumtaja sa100,yale ya FA yatakuhusu98% ila Africa 😀