PostGE2025 Ni wapi kwingine walioshinda uchaguzi kwa 98% hufanya maridhiano??

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
You have nailed it down. Kuna mambo ya kiroho hapo.
 
Mchungaji mwema aliacha kondoo 99 akaenda kutafuta 1 aliyepotea.

Kuwafuata hao 2% ndio kanuni bora ya kiungwana

Ili tuendelee wote tunapaswa kuwa at the same page.
Huyo mchungaji mwema sasa, kumbuka huyo mchungaji mwema hakuua kondoo wake, ila alitafuta kondoo aliyepotea kumrudisha kwa wenzake

Labda mtuambie mnapotaka kuridhiana na CHADEMA mmekoseana nini?
 
Huyo mchungaji mwema sasa, kumbuka huyo mchungaji mwema hakuua kondoo wake, ila alitafuta kondoo aliyepotea kumrudisha kwa wenzake

Labda mtuambie mnapotaka kuridhiana na CHADEMA mmekoseana nini?
Kabisa.Watamke hadharani wamekoseana nini!Hapo ndipo lugha njema itatumika.Watasema "TUNAOMBA TURIDHIANE(msemo wa kileo ungekuwa KARIBUNI TUYAJENGE)na siyo NJOONI HAPA TURIDHIANE.
 
Kabisa.Watamke hadharani wamekoseana nini!Hapo ndipo lugha njema itatumika.Watasema "TUNAOMBA TURIDHIANE(msemo wa kileo ungekuwa KARIBUNI TUYAJENGE)na siyo NJOONI HAPA TURIDHIANE.
Waseme walipokoseana yawezekana tukawa tunaongea kumbe wanajua wenyewe na bifu lao hayo maridhiano ya nini ikiwa mtu amepita kwa asilimia 98% yaani watanzania wanaipenda CCM kutoka moyoni anataka aridhiane na nani anayemnyima usingizi pamoja na ushindi mzito alioupata
 
Kwamba wote tulijitokeza kupiga kula na tukachagua CCM na watu bila aibu wanasema uchaguzi ulifanyika shenzy kuzidi shenzy maccm yote Tena MINDUKU NUYE
 
Northern Ireland,Yugoslavia,Cambodia ,DRC,Libya,Somalia,south Sudan
 
Pamoja na kupata 98% Ni Rais pekee anayechukiwa sana kuliko Marais wote waliowahi kutokea, hata hao wanajifanya kumuunga mkono ni kwa sababu ya Kula yao tu, lakini pembeni najua ukweli wanao.
 
You have nailed it down. Kuna mambo ya kiroho hapo.
..hakuna ujinga km huo, kiroho gani..majini au mizimu? Hatuwezi kuendelea na ujinga huo hata km walitoleana kafara zao za giza, watakufa wao na kuzimu watakwenda.
 
..elewa peke yako huo ujinga, miiko gani, yaani binadam km wewe aweke miiko ya kijinga na wewe unaifuata, utakuwa mjinga zaidi ya huyo anayekuwekea miiko..km waliapizana kishetani gizani, sisi hatuwezi kukubali huo ujinga..kufa na wafe na miiko yao sisi hatuijui na hatuitaki!
 
Zamani, watu waliokuwa wanakuja kuwa watumishi wa umma, walikuwa wanatafutwa toka chini kabisa, shule za msingoi, sekondari na baadae elimu nyingine za juu.

Ndio maana ukimuona Mzee Mangula au Col. Mstaafu Kinana, kazi zao zinajieleza. Siku hizi, Hawa watu ambao ndio wanatakiwa wawe na weledi, wanapatikanaje?

Mbona wengi wana viwango duni sana vya kufikiri? Kuna sehemu inatakiwa tuanze mabadiliko haraka. Kuajiri watu wa taasisi ambazo ndio jicho la Taifa lolote.....tusiajiri wajinga tunachekesha sana 😂 😂 😂 😂
 
Pamoja na kupata 98% Ni Rais pekee anayechukiwa sana kuliko Marais wote waliowahi kutokea, hata hao wanajifanya kumuunga mkono ni kwa sababu ya Kula yao tu, lakini pembeni najua ukweli wanao.
Kabisa!
 
Kuna Jaji mjinga mjinga anaitwa Mwambegele.
Huyo ana jibu lako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…