Huu utetezi achana nao maana utaingia aibu ya bure? Unakumbuka yule mgombea wa kuokoteza uchaguzi mkuu wa 2015 kutokana na pesa zake? Unakumbuka waliokuwa wanamuIta fisadi, na kuishia kubadili gia angani?simjui Mbowe, ila matendo ya Lisu yamenitoa imani kwake. He was one of my favorite politician. Kumbe ni mropokaji...... juzi kasema hawezi kugombea uenyekti na Mbowe, leo anagombea...utamwamini mtu kama huyo?
Tafsiri yake siyo hiyo.huwezi kumlinganisha mbowe na lissuMaana yake Mbowe ameshindwa kuitengeneza CHADEMA kuwa chombo kinachojiendesha kwa mifumo ya kitaasisi. Ni one man show mliyo ikataa kwa Magufuli.
Taasisi lazima kuwe succession ya uongozi tena ni seamless.
Mkuu. CCM wanamuogopa Mbowe? Acha masihara.Yoda kwanini CCM mnamuogopa Mbowe? Let us talk as friends...
Siyo kweli.Bila mbowe chadema inakufa
Imesaidia kupeana zawadi za vitenge na mama. Pia imesaidia kufubaza upinzani kwa 4R na kuwawezesha CCM kujifanyia lolote watakalo kwenye chaguzi.Diplomacy imesaidia nini chama hicho?
Hamna kitu kama hicho.Lissu ni ngoma inayopigwa sana, itapasuka tu, anatiwa kichwa anakubali.Mambo aliyoyaongea Lissu kuonyesha weaknesses kadhaa za kimfumo ndani ya Chama ni "indirect" attack kwa Mbowe.
Kama Mbowe ataamua kugombea na Lissu akashindwa (kihalali au kwa figisu), most likely Lissu ataondoka CHADEMA na chama kitapoteza mvuto wake kwa kiasi kikubwa sana
Miaka 20 ni mingi na Mh. Mbowe angekaa kando tu na kuwa mshauri wa chama.