Uvccm mfuu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2024
- 453
- 492
Machawa ya mbowe tilieni.Ni Lisu kuacha kugombea...Mbowe ana diplomacy, siyo kama lisu anayeropoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machawa ya mbowe tilieni.Ni Lisu kuacha kugombea...Mbowe ana diplomacy, siyo kama lisu anayeropoka
Hapa umetufunga kamba. Wenje ndio alienda na Abdul nyumbani kwa lissu. Wenje ndio ameshawishiwa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti. Kama mbowe akiendelea makamu wake anayemtaka Ni wenje, fikiria hiko chama kitakuwaje?Yoda kwanini CCM mnamuogopa Mbowe? Let us talk as friends...
Aisee! Kazi ipo jamaa akienda huko...Hata ACT hawakubaliani na huu muundo wa sasa wa serikali mbili.
Kwa sasa ni nafasi ya lissu kugombea, mbowe miaka 20 inatoshaNi Lisu kuacha kugombea...Mbowe ana diplomacy, siyo kama lisu anayeropoka
Hekima na busara ni nyenzo muhimu kwenye uongozi.Hana hekima na busara amevikosa kabisa. He was one of my favorite politicians until recently after his stupid press!
Haahaa ndo maana ccm wanatamani mbowe ashindwe uwenyekiti wa chademaHapa umetufunga kamba. Wenje ndio alienda na Abdul nyumbani kwa lissu. Wenje ndio ameshawishiwa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti. Kama mbowe akiendelea makamu wake anayemtaka Ni wenje, fikiria hiko chama kitakuwaje?
Haahaa mbowe kafanikiwa kuijenga machawa wengi sana, nahisi hata wenyeviti wa mikoa huenda aliwapanga yeyeHekima na busara ni nyenzo muhimu kwenye uongozi.
Huwa tunamlamu Mbowe kukalia kiti muda mrefu kumbe watu wenyewe ndiyo kama hawa!!!
Kama Mbowe ataamua kuufuata ushauri wa watu wengi wakiwemo ndugu kutoka familia yake na kuachana na shinikizo/ushauri kutoka kwa chawaz wanaoneemeka kwa yeye kuwepo madarakani, wanaweza kusalvage somethingI think it is too late for that. Chama kimesha pasuka
Mpaka sasa mwelekeo wa Mbowe ndiyo uliopelekea Lissu kuamua kugombea ile nafasi, walichofanya ni kukubaliana pasipo kuhusisha wapambe wakitaraji kutojua kwao kutauchangamsha zaidi uchaguzi sababu vile watakavyokuwa wakipambania pande hizo mbili.Sijausoma muelekeo wa Mbowe mpaka sasa.
CDM kimepitia magumu makubwa, hili la sasa wala si chochote, CDM ndio kwanza inaimarika.Maneno aliyozungumza Lissu leo wakati anarudisha fomu ni mazito sana, anasema mtu aliyemleta Abdul kwake ampe pesa na akamwambia hata wengine wameshapewa pesa ndiye anagombea kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA na anamuunga mkono Mbowe kuwa mwenyekiti!
Katika hili jambo kama ni kweli ni baya sana kwa CHADEMA kwa maana chama kinapoteza imani mbele ya umma. Kwa upande mwingine kama Lissu ni muongo basi hawezi kuaminiwa kuwa kiongozi tena na wenzake ndani ya CHADEMA maana ni dhahiri atakuwa ana nia mbaya sana dhidi ya chama na hii inamaanisha safari yake ya kugombea urais kupitia CHADEMA mwaka 2025 inaweza kuwa imefika mwisho.
Pia amekejeli mtindo wa mwenyekiti Mbowe ambao huwa anaombwa na wapambe kila uchaguzi kugombea.
Lissu asipokuwa mwenyekiti wa CHADEMA atajaribu kuanzisha chama kingine, ataelekea ACT au ataachana na siasa kabisa.
Halafu wewe mbwiga unatoa maneno machafu ukijibiwa sawa na upuuzi wako unaanza kupiga mayowe.Ni Lisu kuacha kugombea...Mbowe ana diplomacy, siyo kama lisu anayeropoka
Hadi wewe mkuu bado unaamini katika diplomacy kwenye kudili na michezo michafu ya sisiem katika nchi hii? Utakuwa kati ya watu wenye maslahi binafsi na Mbowe, na inastaajabisha.Ni Lisu kuacha kugombea...Mbowe ana diplomacy, siyo kama lisu anayeropoka
Sapoti yako kwa Mbowe imekufanya upoteze hata umakini unaposoma maoni ya watu kiasi cha kushindwa kuelewa hata lugha nyepesi katika sentensi fupi kabisa ya huyo jamaa unayemtisha! Kweli watanzania ni walewale, ni suala la maslahi kuguswa tu kila kitu kinabadilika.uumbaji wa Mungu usiudhihaki. Kesho yako na wanaokuhusu huijui.
Hii nchi tunahitaji zaidi katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuliko kitu kingine chochote.Banana republic ni shida sana.
Huyo Abdul kaibuka tu majuzi hapa baada ya mama yake kuwa rais sasa ni bilionea anasambaza hongo za kutosha.
Mpaka dili za nchi anaenda kwenye misafara rasmi kujadiliana.
Msipojifunza kwa hii awamu ya 5&6 hamtojifunza tena katiba mpya lazima iwe ni hitaji la lazima.