Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Na alikufa[emoji14][emoji14]
 
Endeleeni kuumia.
 
Samia mwenyewe linamchosha hatari, kila akienda nje kwenye interview lazima aulizwe swala la Mbowe[emoji1]
 

Taasisi ambayo haina Siri, Yan wao kila kitu ni public Tu

Jambo la pili hayo mambo yote ambayo lema anasema huyo waziri kayasema mbona ni vitu ambavyo havimwadhiri rais Kwa Aina yoyote?

Wabunge covid rais akiamua hawatoki, katiba mpya rais akiamua haifanyiki

So I'm very sure hizo ni story za kutungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…