Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

🤣😇🤣😇🤣😇🤣😇🤣😇🤣😇🤣😇🤣😇
 
Wapemba wahamishwe, wakaharibu kile kisiwe, kina maeneo mengi ya urithi na ambayo UNESCO inayatambua. Tukiwahamisha tutakua tumefanya Jambo kubwa Sana na la maana
 
Wakidai hiyo nchi yao basi itabidi wafukuzwe sehemu zote zingine nchini. Sijui kama watatosha na kuelewana kwenye hiyo ‘nchi yao’🙂

Hawataogopa.
Kumiliki nchi ni jambo kubwa Mkuu usifikiri wao ni wajinga kutaka Wachaga kuwa nchi kamili.

Ni sawa useme ufukuzwe nyumbani ya kupanga ili uende ukaishi nyumbani kwako.
 
Wee bwa unachokitafuta utakipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…