Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Nimekuelewa!! lakini onyo ni hili! SSH ataondoka saa nusu hakuna jeshi wala TISS watakawaweza wale majamaa! Hebu ajaribu tu kufikiria halafu ijulikane tu! SIYO kuandika wala kutenda!
Usipate shida tutawabeba kwa mabasi ya hifadhi!
Au mnataka kwenda Msomera kwa magari yenu?
MaVogue,V8,Cayene, maPrado!!
Mlima Kilimanjaro lazima utunzwe!
 
View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
Marifi yapfo!
 
Back
Top Bottom