Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wataanza vilevile kubaguana huyu wa rombo huyu sijui wa machame etc. Shauri yao🙂Watatosha vizuri tu. Unajua watu wote duniani wanaweza kuishi ndani ya Tunisia na wasikanyagane?
Kilimanjaro ni pakubwa sana. Hata wakirudishwa wote hawatafikia population density ya Bangladesh