Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Mkuu zanku , kwanza Hakuna kosa lolote kisheria mtu yoyote kuwa a silent partner kwenye biashara yoyote, as long as hizo fedha za mtaji ni fedha halali!.

Pili asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P

Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga.

Kapuya amesema kwamba yeye jina lake ni Juma Athuman Kapuya, huku baba yake akiitwa Athuman Kapuya. Mama yake alipofariki dunia, baba yake mzazi alioa mwanamke mwingine na wakapata watoto. Kati ya hao watoto yupo Yasin Athuman Kapuya ambaye katika kumuenzi Baba yake mzazi akaamua kuanzisha Athuman Kapuya Foundation.

Profesa Kapuya kasema si yeye, mke wake au watoto wake wanaojihusisha na foundation hiyo. Anadai siku taasisi hiyo inafunguliwa alishiriki kuifungua na aliitwa aje kueleza Mzee Athuman Kapuya alikuwa mtu wa namna gani.

Profesa Kapuya amedai kuwa ana miaka zaidi ya 20 hajaonana na ndugu yake huyo mhusika wa taasisi hiyo kwani Yasini Kapuya anaishi Marekani.

Ameongeza kuwa watu wanaweza kwenda Serikalini kufuatilia hasa nani mmiliki wa hiyo Taasisi ili waache kuchafua jina lake kwa jambo lisilomhusu.

Pia soma
 

Attachments

  • IMG-20240821-WA0004.jpg
    IMG-20240821-WA0004.jpg
    96.2 KB · Views: 5
View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomora , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.

Naomba nikuelimishe tu kuwa; Huwezi kabisa kulinganisha Kilimanjaro na Ngorongoro
Kilimanjaro ule mlima umezungukwa na mbuga ya wanyama (Kilimanjaro National park) na hakuna mtu hata mmoja anaishi ndani ya eneo la mbuga; watu wote (wachaga) wapo nje kabisa ya mipaka ya National park; sawa tu na watu waliopakana na serengeti, tarangire, Mikumi, nk nk nk. Kwa upande wa Ngorongoro, Wamasai wanaishi NDANI YA PARK pamoja na wanyama!
Vitu viwili tofauti kabisa!
 
Naomba nikuelimishe tu kuwa; Huwezi kabisa kulinganisha Kilimanjaro na Ngorongoro
Kilimanjaro ule mlima umezungukwa na mbuga ya wanyama (Kilimanjaro National park) na hakuna mtu hata mmkoja anaishi ndani ya eneo la mbuga; watu wote (wachaga) wapo nje kabisa ya mipaka ya National park; sawa tu na watu waliopakana na serengeti, tarangire, Mikumi, nk nk nk. Kwa upande wa Ngorongoro, Wamasai wanaishi NDANI YA PARK pamoja na wanyama!
Vitu viwili tofauti kabisa!
Ni sawa na kusema watu walizunguka mbuga ya serengeti wahamishe kwa kuwa kuna kipindi wanachoma, wanachunga ngombe, na wanaua wanyama nk nk nk
Niulize....
Ngorongoro nani alimfuata nani?
Wanayama waliwafuata wamasai au Wamasai waliwafuata wanyama...

Maana hao tangu enzi na enzi wanaishi hivyo....
 
Niulize....
Ngorongoro nani alimfuata nani?
Wanayama waliwafuata wamasai au Wamasai waliwafuata wanyama...

Maana hao tangu enzi na enzi wanaishi hivyo....
Kwenye mbuga za wanyama karibia zote kulikuwa na watu wanaishi; ila baada ya sheria ya kuzilinda kupitishwa (baada ya uhuru) watu wote waliokuwa wanaishi ndani ya maeneo yenye wanyama walihamishwa na ndipo mipaka ikawekwa. Wamasai pia ilikuwa wahamishwe, ila ikaonekana kuwa, walikuwa wachache sana; na utamaduni wao wa kutokula wanyama pori na nyumba zao zilizokuwa rafiki wa mazingira zilionesha kuwa, hawakuwa na madhara kwa mazingira na kwa wanyama.
Sasa hivi wamasai wameongezeka sana, huko morogoro wamejaa lakini pia, utamaduni unaenda ukibadilika, kula na hata kujenga nyumba za kisasa ambazo sio rafiki wa mazingira yale.....
 
Back
Top Bottom