Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Kwenye mbuga za wanyama karibia zote kulikuwa na watu wanaishi; ila baada ya sheria ya kuzilinda kupitishwa watu wote waliokuwa wanaishi ndani ya maeneo yenye wanyama walihamishwa na ndipo mipaka ikawekwa. Wamasai pia ilikuwa wahamishwe, ila ikaonekana kuwa, walikuwa wachache sana; na utamaduni wao wa kutokula wanyama pori na nyumba zao zilizokuwa rafiki wa mazingira zilionesha kuwa, hawakuwa na madhara kwa mazingira na kwa wanyama.Wakati Ngorongoro inaanzishwa 1959 hao Wamasai walikuwepo ndani ya hifadhi au hawakuwepo?
Sasa hivi wamasai wameongezeka sana, hadi huko morogoro wamejaa lakini pia, utamaduni wao unaenda ukibadilika, kula na hata kujenga nyumba za kisasa ambazo sio rafiki wa mazingira yale .....