Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
Kuna makabila ni ngumu kuyachezea wao wenyewe wanajua
 
Ukitoka wewe mtoa mada Kilimanjaro ukaenda kuanzisha makazi sehemu nyingine inatosha
 
Upo sawa kiana sasa watapelekwa wapi pale ndo asili yao?

Ok ongeza kyindi kandoo kadogo ntalipa!
 
Yes iwe hivyo ili Tanganyika tutoke usingizini
 
Kuna siku mtaamka Samia ameuza ikulu zote za Tanganyika kwa muwekezaji na ametimkia kwenda kuishi ikulu ya Zanzibar.
 
Ni kweli pia hapa Kizimkazi kuna fukwe nzuri sana zinazovutia watalii.

Tunaomba nasi watu wa kizimkazi tuhamishwe tuhamie Msomera ili zijengwe hotel nzuri na fukwe ziboreshwe na kuwa nzuri na bora kwa watalii.
Kizimkazi NO!
Huko hakuna Muungano!
 
Huu uzi umekaa kama masihara lakini ndio hali inayofuata, watu watajiuliza na kujilinganisha na wengine. Haya ni matatizo makubwa
 
Wazo lako ni either liko njiani au tayari linafanyiwa kazi.....Kuna msemo WA kukumbuka shuka kumekucha,,,najiuliza siku moja watu million 60 ndio tuamke wote usingizini tutakuwa wapi na tutaona nini na tutafanya nini??
 
Back
Top Bottom