Kuna wimbo una mahadhi ya taarabu unaitwa Natanga na njia.Naomba mwenyenao autupie hapa
 
Natafuta nyimbo za dini za zamani miaka ya 1990 title ya kanda hiyo iliandikwa "Ulimi ni Sumu", nyimbo mojawapo ni kama 1. Ulimi ni sumu, 2. Yonah, 3 Msifadhaike mioyo, na zingine. Ntashukuru sana kama ombi langu litafanikiwa hata kwa kununua ntanunua.
 
Sitobadarika remix mike t feat dulysyks
Ukweli wa mwana FA feat stara thomasi
 
Natafuta wimbo ambao beat yake ilikuwa ikitumika kama background ya kipindi cha Diva kipindi cha nyuma kidogo, sijui kama bado unatumika huo
 
Kuna wimbo nautaka sana ila nipo nauimba ndani ya roho tu afu nausikiliza mwenyew nautafuta ki ukweli siupati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…