wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Mkuu JF sio sehemu salama kutoa namba ya simu itakuwa msaada kama unalifahamu jina lake unitajie ni download.Nimeshindwa kuutuma hapa nipe namba nkutumie kwa whatsapp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu JF sio sehemu salama kutoa namba ya simu itakuwa msaada kama unalifahamu jina lake unitajie ni download.Nimeshindwa kuutuma hapa nipe namba nkutumie kwa whatsapp
Kama si mhalifu huwezi kuogopa kutoa namba, pia unaweza ukatuma namba PM ili wengine wasiione. Kuhusu jina la wimbo ungeangalia aliyeomba alikuwa anataka wimbo gani.Mkuu JF sio sehemu salama kutoa namba ya simu itakuwa msaada kama unalifahamu jina lake unitajie ni download.
Wimbo ninao ila sijui jinsi ya ku uploadNatafuta wimbo wa Nemo ft dully sykes Baby sema,
Mwenye nao naomba unaimbwa hivi
chorus
Baby baby sema basi kama umekubalii,
Baby baby sema basi kama upo tayarii
Utanikumbuka wa super danger ft banza stone upo you tubeJaman mwenye nyimbo kati ya hizi naomba
African revolution (Tam tam)-kijino pembe
African revolution (Tam tam)-kitendawili
kimondo band-Neli
Awilo wa mbeya-Ee dada
Super danger ft Banza stone-utanikumbuka
Tafuta you tube nahisi unaitwa kakolele au Viva Christmas umeimbwa na jamaa kama sikosei aitwa gatson kakole.Kuna wimbo mmoja huwa unapigwaga TBC wakati wa sikukuu ya chrismass. Wanaimba...(sijui kama ni sahihi lakini kimatamshi) 'adoele adoele..noele mama noele mama'....anayeufahamu tafadhali
Shukran mkuu, ngoja nikautafute.Tafuta you tube nahisi unaitwa kakolele au Viva Christmas umeimbwa na jamaa kama sikosei aitwa gatson kakole.
Tafuta you tube nahisi unaitwa kakolele au Viva Christmas umeimbwa na jamaa kama sikosei aitwa gatson kakole.
Nitumie link pm. Hii hapa inazinguaKalibun kwenye group la old xkul music huko hakuna wimbo wa zamani ambao utaukosa yan kauli mbiu yetu inasema hatushindw karibun
Old xkul music
Ninao huo...Hata ile nyingine inaitwa NAFSI YA PILI sijawahi upata Aisee
Ya kesse na hiyo ya chidbayo ninazo..Jamani mwenye nyimbo kati ya hizi naomba
Kesse boy ft Makamua-Hawa mademu
Chibdayo ft Marlaw-Kuwa naye
Awilo wa mbeya-Ee dada
Bozi Boziana-Amour oti wapi
African revolution(Tam Tam)-Kijino pembe
Extra bongo-3x3
Tot plus band
Jaymoe ana wimbo unaitwa hivyo kweli???wimbo wa JAY MOE long distance lovers
Unaitwa VumiliaNatafuta wimbo wa Nemo ft dully sykes Baby sema,
Mwenye nao naomba unaimbwa hivi
chorus
Baby baby sema basi kama umekubalii,
Baby baby sema basi kama upo tayarii
Critic-MnizoeeNyimbo hizi mbili ingawa majina sijajua Ila jina la wasanii wake au maneno ya wimbo.
Wasanii kritik na scout jentaz- sijui title ya wimbo lkn kuna maneno yanasema kama tabia zangu zinawakera wangu Masela mnizoee hits za 2003&2004.
Wimbo wenye maneno haya- Wanasema nimedata sina hata lamkusema Mbele, wanasema nimedata sina hata la kasema Mbele oh no! Simkumbuki ni nani aliimba lkn pini ilibamba sana 2002- 2005