Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Thanks Gwankanja hizo pini zinanikosha sana na zinanikumbusha mamsap wangu kipindi hicho tuna date alidanyanya kwao kapata kazi mkoani akahamia gheto kwangu akaa 4 months mpaka nilikwenda kujitambulisha kwao hahahahaCritic-Mnizoee
Mad Ice-Rose
Ha ha hatari...Thanks Gwankanja hizo pini zinanikosha sana na zinanikumbusha mamsap wangu kipindi hicho tuna date alidanyanya kwao kapata kazi mkoani akahamia gheto kwangu akaa 4 months mpaka nilikwenda kujitambulisha kwao hahahaha
Niamini wa hard blasterz
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965valentine day diamond sound band
Niamini wa hard blasterz
Vema kwa marekebisho ndugu. Naamini muhitaji Wa wimbo huu ataona hayaAnaitwa Baba Gaston ipo you tube.
Nshautafuta sana sijaupata nahisi hawajauachia onlineJamani kuna wimbo wa CCM wa campaign unaimbwa hivi “ Inang’ara CCM, Kinang’ara chama cha mapinduzi’’
Nisaidieni jamani naupenda sana
Poa,ila kuna ndugu amerekebisha jina anasema anaitwa baba Gaston. Kwa hyo zama you tube umchekiShukran mkuu, ngoja nikautafute.
Nitumie link unagoma hata mimiNi 'we miss you manelo' hapa unagoma ku upload ila unapatikana YouTube
Chorus yake inaimbwa '...hivi ni lini ombi langu litajibiwaaa.....hivi ninlini ombinlangu litakubaliwaaa.....naomba kwa mungu usiku kucha ili lije jibu labfurahaa...."Natafuta wimbo wa Soul N face (au ni Ismail kama sikosei) unaitwa MSHENGA.