Huu hapa man.
Enjoy
Mkuu Kuna hizi nyimbo KALI sana za HIPHOP naziomba mkuu nimezitafuta bila mafanikio.

1.Black rhyno_Niskize me
2.Black rhyno_Nini mnataka mazee (mistari).
3.Hashim_Kibongobongo au kinyamwezi
4.Hashim_Mama pili ana watoto wawili wakwanza anaitwa teda wa pili ataitwa nani?? Aaah rudia...!


Pamoja sana mkuu
 
 

Attachments

 

Attachments

“Nilipokutana nae, kwa mara ya kwanza.
Nilitamani kumwambia, aah moyo ikasita.
Mawazoni nilidhani, bado mapema.
Na sasa nimechelewa, sijui pakumpata”.

Hii ngoma ya Ray C kitambo hicho nimeisahau jina, naomba mwenye nayo anisaidie angalau aiweke humu nitaipakua siku nikiwa kwenye mtandao mzuri.
Lakini pia nasisitiza ombi langu, anaeweza kunisaidia kutuma hizi ngoma za zamani kwenye email yangu anisaidie.
ngoshiwani1@gmail.com
Asanteni
 
wakuu minahitaji nyimbo za mrEbo mwenye nazo atupie hapa 2kumbushie enzi zetu

Anza na hizi. Ingawa mwenyewe natafuta wimbo wake wa Fahari Yako, wa Ebbo, kwenye library sina. Alie nao atupiemo
 

Attachments

Kuna nyimbo flani hivi chorus yake inaimba hv :
"Tuwe karibu
Mpenzi karibu
Tuishi pamoja
Aha a. "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…