Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
“Nilipokutana nae, kwa mara ya kwanza.
Nilitamani kumwambia, aah moyo ikasita.
Mawazoni nilidhani, bado mapema.
Na sasa nimechelewa, sijui pakumpata”.

Hii ngoma ya Ray C kitambo hicho nimeisahau jina, naomba mwenye nayo anisaidie angalau aiweke humu nitaipakua siku nikiwa kwenye mtandao mzuri.
Lakini pia nasisitiza ombi langu, anaeweza kunisaidia kutuma hizi ngoma za zamani kwenye email yangu anisaidie.
ngoshiwani1@gmail.com
Asanteni
Muhimu kujua jina la wimbo ili isaidiwe kwa urahisi
 
Kuna pini flani hivi mchizi anasimulia story ya jamaa yake aliyefariki kwa miwaya ...haamini kumwona jamaa yake.Odinary sana.siyo alikufa kwa ngoma wala msinitenge au starehe ya braza Ferooz.Ni ngoma tamu kuisikiliza,kuifikiria na funzo lake pia ni jema kiasi.
 
1:NAOMBENI NYIMBO HIZI:-
SI ULILETA NYODO - WA DAJOO

2:WAPE VIDONGE WA SUMA G

3:TUMBO DENI LA DUNIA WA USWAHILINI MATOLA

4:JIKO LIMENUNA WA ZIG ZAG CREW

5:HEKAHEKA ZA TEACHER WA G SOLO NA INSPECTOR HAROUN

6:SITAKI DEMU RMX WA J NATURE ILA SIKUMBUKI ALIEMSHIRIKISHA.

NINGESHUKURU SANA KUZIPATA HIZI SABABU NIMESHAZITAFUTA HADI NIMECHOKA.
 
Huu hapa man.
Enjoy
Habari mkuu.

Mkuu kuna hivi vyuma chakavu ni hatari sana yaani mpaka Leo vikigongwa lazima ushtuke balaa lake sio LA kikawaida.

Naviomba mkuu.

1.Professor J_Nipoze moyo mama nimechanganyikiwa na penzi lako LA gharama Emam SAA...
2.Fid Q_Ninapopita mtaani
3.SolidyGround Family_Mechi Kali.

Hivyo vyuma chakavu saaanaaaaaaaaaa.

Mkuu Fanya jambo aisee.


Shukrani.
 
Habari mkuu.

Mkuu kuna hivi vyuma chakavu ni hatari sana yaani mpaka Leo vikigongwa lazima ushtuke balaa lake sio LA kikawaida.

Naviomba mkuu.

1.Professor J_Nipoze moyo mama nimechanganyikiwa na penzi lako LA gharama Emam SAA...
2.Fid Q_Ninapopita mtaani
3.SolidyGround Family_Mechi Kali.

Hivyo vyuma chakavu saaanaaaaaaaaaa.

Mkuu Fanya jambo aisee.


Shukrani.

Hizi hapa ndugu, kama zooooote vile.
Enjoy while it lasts
 

Attachments

Back
Top Bottom