Kuna ule wimbo wa zamani kidogo ulikuwa unaimba hv
"sielewi o sielewi
Sielewi mama sielewi
Hohoho sina mwingine ".
 
Kuna ule wimbo wa 'milioni 50 kila kijiji" -by Mzee baba
 
mkuu nahitaji msaada kwa mara ya pili natafuta wimbo wa lady issa unaitwa sugar dady
 
Wakuu kuna wimbo aliimba Mez B unaitwa Unaonekana Unaye...mwenye nao anisaidie
 
Wakuu Gwankaja Kioo Idimi
Tafadhali naomba nyimbo za Jeez Mabovu tafadhali.

Natanguliza shukrani.
 
Naombeni mwenye nyimbo ya oten na afande sele tusahau yote yaliyopita..afande alipiga boonge la verse..refu sana la ukweli kinoma

Na dogo ditoo na kina afande sele wimbo sijui unaitwaje ila kuna mahali wanaimba "wenye upendo huleta tumaini"
 
Huu uzi umenivutia sana kwa mda mrefu sana natafuta nyimbo za Sophia george album galle galle zinanitesa sana nyimbo za huyu dada
 
Wakuu kwema???
Naombeni mwenye wimbo wa joslin ft nature-huyu demu simwelewi anisaidie plz.
 

Attachments

Soggy dogy ni story,ni story ambayo soggy alitusimulia,n story akikumbuka huwaga analia.ntafutie hii mkuu
 
1 K Lyn-vipi nitakudhibiti usitongoze vibinti
2 nyimbo za Justine Kalikawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…