Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
natafuta nyimbo ya Kassim Mganga - Usinune

mwenye nayo afanye namna
 
Wakuu mko sawa??
Huyu mtt mrembo mlaini laini mtaratibu (Ray_C)
Dondosheni nyimbo zake za kitambo ambazo ni HATARI.

Shukrani.





#TeamBajuda
 
Kuna wimbo 1 unatamba Sana kwa sas ambao kiitikio chake watu huwa wanajitupa naomben jina kwa anaeujua
 
Kuna wimbo fulani hivi wameimba wadada wana sauti nzurii niliusikia zamani sikumbuki unaimbwaje wala mashairi yake ila humo ndani kuna maneno 'things are falling apart' Anayeujua please
 
nautafuta sana wimbo wa mwanadada lady isaa unaitwa sugar mumy bila mafanikio kwa kweli
 

Attachments

Natafuta nyimbo za Vijana Jazz na Tabora Jazz band
 
Wakuu gwankaja KIOO Idimi na wengineo naomba wa wimbo fulani aina ya zouk wimbo siukumbuki jina ila unamashairi jamaa kama anamuimbia mwanamke walikutana majira ya jioni sasa anamwimbia "jina lako nani mbona huko hapa unaishi wapi, na unamsubiri nani, alichonijibu dada huyu kwa kweli kinasikitisha sana ni upweke,unaomsumbua"
 
Natafuta nyimbo ina sema "We dont know what love is" halafu ina sema "Sooner or later " na kuna part mtu ana rap halafu kuna kiitikio kina sema "Do the right thing" , halafu rap ina endelea , ilikua ni ngoma moja kali sana club enzi hizo , ni wimbo wa miaka ya 90's , nani ana ifahamu jina lake , nime tafuta saanabila mafanikio .
 
Gwankaja kaka naomba ngoma Ray c upo Gwm yamenikuta kuna mwana mnzese nafikiria nyimbo inaitwa kila mtu na sterehe yke anae... muhimu sna mkuu hard mad Bby girl
 
Back
Top Bottom