Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mie natafuta wimbo mmoja japo sidhani kama jina ni sahihi.

Ni kati ya "Ashura" au "Happy Birthday" wa Hayati Fred Ndalla Kasheba.

Pia nikipata nyimbo za album nzima ya Kesi ya kanga Part I na II.

Niko tayali kuchangia fedha nizipate.
 

Attachments

Wakuu habari za saa.
Tafadhali naomba hivi vyuma chakavu.
1.JumaNature_Sonia
2.Pack line ft Cp_Nafasi nyingine
3.Soggy Dogy_Kibanda cha simu.

Noma sana wakuu.
Nawasilisha.

#KIOO
#GWANKAJA
#IDIMI
 
Wakuu habari za saa.
Tafadhali naomba hivi vyuma chakavu.
1.JumaNature_Sonia
2.Pack line ft Cp_Nafasi nyingine
3.Soggy Dogy_Kibanda cha simu.

Noma sana wakuu.
Nawasilisha.

#KIOO
#GWANKAJA
#IDIMI
 

Attachments

Wakuu habari za saa.
Tafadhali naomba hivi vyuma chakavu.
1.JumaNature_Sonia
2.Pack line ft Cp_Nafasi nyingine
3.Soggy Dogy_Kibanda cha simu.

Noma sana wakuu.
Nawasilisha.

#KIOO
#GWANKAJA
#IDIMI
Hizi hapa man. Nakuwekea na za ziada.
Enjoy
 

Attachments

Zilipendwa moja hivi ya DDC Mlimani park unakwenda kwa "barua kutoka kwa mama No 2" utnzi wake Cosmas Thobias Chidumule, ameimba na kina Benno Villa Anthony, Fresh Jumbe, Juma Hassan town nk.
 
Wakuu kuna ngoma moja tamu sana ya kizazi cha kati, inaitwa Maumivu ya dogo anaitwa Vedasto, anaimba maumivu ya mapenzii, ni bora mtu akuunguze na moto, nilitegemea utanienzi lakini umeniletea utoto! Kuna version mbili, nataka ile OG, Youtube ipo version ya pili aliyoimba na King Zillah ambayo siyo nzuri kama ile OG! Msaada kwenye tuta tafadhali
 
Wakuu kwa mwenye hii ngoma [emoji116][emoji116][emoji116]
Yale Hayakuwa Mapenzi by Mr II naomba aupandishe hapa.
 
Kuna reggae moja nilikuwa nikiisikia miaka ya 90 sikumbuki hata inaitwaje ingawa ipo kichwani, sijui ni Sophia George ni mmama, tabu nikipekua nyimbo zake siipati
 
Mwenye Huu Wimbo

Nizzo feat Kassim-Message zangu
 
Kuna reggae moja nilikuwa nikiisikia miaka ya 90 sikumbuki hata inaitwaje ingawa ipo kichwani, sijui ni Sophia George ni mmama, tabu nikipekua nyimbo zake siipati
Ni yeye. Hope waliaonao watatupiamo
 
Kuna reggae moja nilikuwa nikiisikia miaka ya 90 sikumbuki hata inaitwaje ingawa ipo kichwani, sijui ni Sophia George ni mmama, tabu nikipekua nyimbo zake siipati

Jaamani sukaaari teleee...
Chai ina sukari teleee... Hahah.

Enjoy The Vibez. 👊🏽
 

Attachments

Back
Top Bottom