Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu gwankaja KIOO na mkuu Idimi naomba niangalizieni hizi ngoma,sina uhakika sana kama zimeshawekwa hapa jukwaani maana kote nilikopita huko juu sijapata kuziona[emoji116][emoji116][emoji116]

Kicheko tu LWP.

Hatari Kitu Gani Zay B.

Tumbo Deni la Dunia Uswahilini Matola.

Mwanangu Huna Nidhamu Dudubaya Konki.

Mc Katuni Solo Theng.

Tunajirusha Inspector Haroun&Nazizi.

Tupo Kamili Mabaga Fresh.

Tuwe na Adhabu Gani juu ya hawa Wanaoturoga Juma nature ft.......

Barua Daz Nundaz.

Mtoto wa Gate Kali Inspector Haroun.

Mtoto Iddi J Nature.

We Ndo Mchizi Wangu N2N.

Hawatuwezi N2N.

Tunawapiga Bao N2N{hii ni diss song kwa Kikosi Cha Mizinga}.

Sister Sister GK.

Wanakuita Sugu Mr II ft Stara.

Watu Kibao,hii inazungumzia wingi wa vitu na watu jamaa jina lao limenitoka.

Wauguzi Wagosi Wa Kaya.

Starehe Ni Gharama LWP Majitu ft Mr Paul.

Bishoo Jay Mo

Mvua na Jua Jay Mo

Wachuja Nafaka Doro,KR,Nature.

Ingekuwa Vipi Mwana FA ft Jay Mo

Nasikia Utamu/Hausikii Utamu,jamaa flani hivi nahisi wakenya mmoja anaimba sauti nyembamba mwengine kwa sauti nzito.

Thanks in advance wazee.
Mkuu, umeamua ku exhaust library nzima? Duh. Unatumalizia bundle. Hakikisha unanirudishia bundle langu inbox haraha sana.
 

Attachments

Wakuu mwenye wimbo wa Zig zag crew-jiko limenuna pamoja na nyimbo nyingine zao naomba anisaidie kutupia humu
 
Wakuu kuna wimbo mmoja uliimbwa na Simba wa Nyika (kama sikosei) moja ya mashairi yake ni: "sina shida naweee, sina taabu naweee, ninachotaka ni wale wananguuu". Wimbo huu nautafuta sana, tatizo sifahamu title yake huenda ningeishaupata youtube.

Wimbo mwingine unaitwa "Nabenga Afrika" nadhani umeimbwa na hao hao Les Wanyika. Kama kuna mtu anao au akafanikiwa kuupata youtube, naomba anishtue. Asanteni nyote.
 
Mkuu, umeamua ku exhaust library nzima? Duh. Unatumalizia bundle. Hakikisha unanirudishia bundle langu inbox haraha sana.
Hahaha mkuu usiwaze utanirushia No yako PM nikuangalizie salio kidogo,mnachokifanya hapa kama ni pepo basi mmeshaipata wakuu.

Shukrani sana.
 
Mkuu fanya hivi: Ukisharekodi wimbo kwenye simu yako uhamishie kwenye flash kisha uweke kwenye kompiuta halafu uutupie humu.

Kama huna flash unayoweza kuchomeka kweye simu moja kwa moja, tumie USB cable....ichomeke kwenye kompiuta, kisha chagua wimbo utupie humu mkuu. Asante.
Wakuu huu wimbo ninao kwenye CD nimefanya kuu-record kidogo tatizo hausikiki vizuri naomba mnipe hints jinsi nitakavyoweza kuweka kipande nilichokirekodi hapa jukwaani au niwarushie PM.
 
Wakuu ni hivi: humu hatutafuti nyimbo za bongofleva bali tunatafuta nyimbo zenye maadili....ama nyimbo za kale au nyimbo za dini za zamani. Nadhani tumeelewana.
 
Hahaha mkuu usiwaze utanirushia No yako PM nikuangalizie salio kidogo,mnachokifanya hapa kama ni pepo basi mmeshaipata wakuu.

Shukrani sana.
Pamoja sana kamanda, ingawa sijaweka zooote ulizoomba. Nadhani zilizobaki wata upload wenzangu! Ila imekula bando
 
Pamoja sana kamanda, ingawa sijaweka zooote ulizoomba. Nadhani zilizobaki wata upload wenzangu! Ila imekula bando
Amina mkuu....
Usiwaze kaka unatumia mtandao gani nirudishe japo nusu hasara?
 
kuna wimbo wa kwaito ulikua unatumika kwenye kipindi cha redio choice fm mida ya saa 4 asubuhi, huo wimbo una vocals chache part kubwa ni instrunmental.
 
Back
Top Bottom