dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 1,499
- 2,667
bado nautafuta.nautafuta wimbo wa simu ya mkononi wa innocent galinoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado nautafuta.nautafuta wimbo wa simu ya mkononi wa innocent galinoma.
Mie natafuta wimbo mmoja japo sidhani kama jina ni sahihi.
Ni kati ya "Ashura" au "Happy Birthday" wa Hayati Fred Ndalla Kasheba.
Pia nikipata nyimbo za album nzima ya Kesi ya kanga Part I na II.
Niko tayali kuchangia fedha nizipate.
Wakuu habari za saa.
Tafadhali naomba hivi vyuma chakavu.
1.JumaNature_Sonia
2.Pack line ft Cp_Nafasi nyingine
3.Soggy Dogy_Kibanda cha simu.
Noma sana wakuu.
Nawasilisha.
#KIOO
#GWANKAJA
#IDIMI
Hizi hapa man. Nakuwekea na za ziada.Wakuu habari za saa.
Tafadhali naomba hivi vyuma chakavu.
1.JumaNature_Sonia
2.Pack line ft Cp_Nafasi nyingine
3.Soggy Dogy_Kibanda cha simu.
Noma sana wakuu.
Nawasilisha.
#KIOO
#GWANKAJA
#IDIMI
Pamoja sana kamanda#Kioo
#Idimi
#Gwankaja
Salute wakuu.
Ni yeye. Hope waliaonao watatupiamoKuna reggae moja nilikuwa nikiisikia miaka ya 90 sikumbuki hata inaitwaje ingawa ipo kichwani, sijui ni Sophia George ni mmama, tabu nikipekua nyimbo zake siipati
Wakuu kwa mwenye hii ngoma [emoji116][emoji116][emoji116]
Yale Hayakuwa Mapenzi by Mr II naomba aupandishe hapa.
poa pamoja mkuu!Mkuu...
Nakushukuru kaka
Kuna reggae moja nilikuwa nikiisikia miaka ya 90 sikumbuki hata inaitwaje ingawa ipo kichwani, sijui ni Sophia George ni mmama, tabu nikipekua nyimbo zake siipati
Hii ngoma najua vzr mkuu, ngoja nikikaa sehemu nzuri nitaimba nirushe voice note humu labda mtauelewa.Jaamani sukaaari teleee...
Chai ina sukari teleee... Hahah.
Enjoy The Vibez. 👊🏽