Wakuu nakubali sana kazi nzuri ya kushusha hizi nyimbo ambazo hata redio nyingine hawana! Bado natafuta sana nyimbo tatu:
1. Big dog pose-kitambo kdg
2. zigzag crew-jiko limenuna
3. Jos mtambo-kizaazaa
Nitashukuru sana nikipata hizi
 
Wakuu nakubali sana kazi nzuri ya kushusha hizi nyimbo ambazo hata redio nyingine hawana! Bado natafuta sana nyimbo tatu:
1. Big dog pose-kitambo kdg
2. zigzag crew-jiko limenuna
3. Jos mtambo-kizaazaa
Nitashukuru sana nikipata hizi
Jiko Limenuna zipo Version mbili...
 
Necessary Noise ft. Jafarai wimbo huwa sijui japo nahisi unaitwa MC au FANI. Moja ya mistari ni hii... Mcz wanataka kuvamia hii fani wakati sisi tuna rule hii game,wapinzani wamebaki na maswali vichwani vibe is......
 
Kuna wimbo jamaa wanatia huruma wanaimba "Twende wapi mama ooh,tukaeleze matatizo yetu" ulikuwa unapigwa kwenye kipindi flani cha watoto wanaoishi mazingira magumu
 
Natafuta wimbo japo nimesahau jina lake wale wanaosikiliza radio tumaini unakuwa unapigwa instrumental kipind cha asubh ulikuwa unapigwa kwenye harus sana enzi zile naomba mwenye nao anitupie hapa
 
Naitafuta je utanipenda remix ya MR 11(SUGUU) & MIKE TEE,NAOMBA MTU ANISAIDIE ILA REMIX TU ALIMBA SUGU VERSE YA 1 NZURI SANA
Hawapigi tena track redion
hata kwenye tv hauonion
Na jina haliend chini
najua unashangaa hata mi sijui kwanini...

Ilikuwa verse ya kibabe sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…