ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
NAOMBA WIMBO WA BUZI WA MR PAUL FT INSPECTOR HAROUN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiko Limenuna zipo Version mbili...Wakuu nakubali sana kazi nzuri ya kushusha hizi nyimbo ambazo hata redio nyingine hawana! Bado natafuta sana nyimbo tatu:
1. Big dog pose-kitambo kdg
2. zigzag crew-jiko limenuna
3. Jos mtambo-kizaazaa
Nitashukuru sana nikipata hizi
Yoyote itakayopatikana kamandaJiko Limenuna zipo Version mbili...
Mimi napenda ile wako na solo thangJiko Limenuna zipo Version mbili...
Nauomba manung'ayembe jamani....Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Nitafutie manung'ayembe mkuuHakuna nyimbo nayoitafutaga nikaikosa hadi wimbo wa mussa ninao.
Hawapigi tena track redionNaitafuta je utanipenda remix ya MR 11(SUGUU) & MIKE TEE,NAOMBA MTU ANISAIDIE ILA REMIX TU ALIMBA SUGU VERSE YA 1 NZURI SANA
hahaha hatari sana mzeee,naitafuta sanaHawapigi tena track redion
hata kwenye tv hauonion
Na jina haliend chini
najua unashangaa hata mi sijui kwanini...
Ilikuwa verse ya kibabe sana...
nitaiweka mkuu...hahaha hatari sana mzeee,naitafuta sana
ntashukuru sana, nina mzuka nayo sana io verse inanikumbusha vinginitaiweka mkuu...
ntashukuru sana, nina mzuka nayo sana io verse inanikumbusha vingi