Necessary Noise ft. Jafarai wimbo huwa sijui japo nahisi unaitwa MC au FANI. Moja ya mistari ni hii... Mcz wanataka kuvamia hii fani wakati sisi tuna rule hii game,wapinzani wamebaki na maswali vichwani vibe is......
Soka la bongo by wagosi wa kaya
vip hii ya tusahau remix ya afande sele &o ten,ile remix yake utakuwa nayo?nitaiweka mkuu...
Yoyote itakayopatikana kamanda
Leo Nimekuja kwa aman ndugu yangu...vip hii ya tusahau remix ya afande sele &o ten,ile remix yake utakuwa nayo?
Natafuta wimbo: Wanatamani kila leo niwechini yao
Mwimbajib Macmua
NAOMBA WIMBO WA BUZI WA MR PAUL FT INSPECTOR HAROUN
Mzee we noma,shukran ,vip nazeeka sasa version ya mwana fa,chid benz na ay,ukiacha ile ya fa,sudu na jayLeo Nimekuja kwa aman ndugu yangu...
Sina Kisu Wala Panga mikononi mwangu...
Enjoy Mkuu
Dah hii ngoma imenikumbusha back dem days... miaka ya mwanzo wa 2000 enzi za kipindi cha Deiwaka show ndani ya Radio Uhuru. Seba Maganga na Sister Hoops....
Mungu akubariki sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120]pitia post za juu... kuna mtu aliomba nilimuwekea
Mzee we noma,shukran ,vip nazeeka sasa version ya mwana fa,chid benz na ay,ukiacha ile ya fa,sudu na jay
Wakuu msaada wa huu wimbo
Baadhi ya mistari yake
Uchungu wa mapenzi unauma sana usiambiwe uchungu wa mapenzi unauma sana usiambiwe mpenzi wangu nishike mkono usiniachie ukiniacha nitaenda wapi mimi
Kiitikio
Helo napiga simu pokea baby am sorry
Wakuu kama kuna mtu anao naomba auweke hapa natanguliza shukrani zangu [emoji120][emoji120]
Mkuu KIOO naomba unisaidie huu wimbo kama unao [emoji120] [emoji120]
Yap yap..kila ijumaa mchana ilikuwa never miss!!!Chati za day wakaa....