Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
naitafuta nyimbo ya nazeeka sasa version ya mwana fa,chid benz&AY ukiacha ile version ya mwana fa,sugu&prof,
 
Mkuu KIOO habari za muda huu.... naomba unisaidie wimbo wa "joslin ft nature- huyu demu simwelewi" plz plz nimeutafuta bila mafanikio.
 
Dah hii ngoma imenikumbusha back dem days... miaka ya mwanzo wa 2000 enzi za kipindi cha Deiwaka show ndani ya Radio Uhuru. Seba Maganga na Sister Hoops....
 
Nashukuru sana kiongozi, ukipata na kitambo kidogo ya Big dog pose naomba uitupie humu
 
Wakuu msaada wa huu wimbo

Baadhi ya mistari yake

Uchungu wa mapenzi unauma sana usiambiwe uchungu wa mapenzi unauma sana usiambiwe mpenzi wangu nishike mkono usiniachie ukiniacha nitaenda wapi mimi

Kiitikio

Helo napiga simu pokea baby am sorry

Wakuu kama kuna mtu anao naomba auweke hapa natanguliza shukrani zangu [emoji120][emoji120]
Mkuu KIOO naomba unisaidie huu wimbo kama unao [emoji120] [emoji120]
 

Attachments

Back
Top Bottom