Kuna yule jamaa alyeshirikidhwa na dully sykes kweny julieta anaitwa BJB ana ngoma yake siikumbuki inaitwaje ila ni hip hop moja kali sana aliitolea na video ...
 
Unaonekana Unaye ya Mez B Nichekie mkuu...
Pia Unaitwa Nani ya Q chief
 
Nataka wimbo huu
Tazama ramani na Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote
 
Nahitaji nyimbo hizi, mwenye nazo please

- Inomaic & agalayi..msanii kutoka Uganda
- zuwena.. mr paul
- Jaguar ft Ay
- sirudi tena ft mabeste, jux
- miaka 6 sijazaa + nimpende nani
- elimu mtaani d'knob
- dakika 1
- ni wewe kwenye hii dunia, hard mard
 
Baba hilo ngoma la dakika 1 Ni hatareeeeeeee.

Hard Mard ft F.A na A.Y_Dakika moja.




Noma mwanangu







Kioo Gwankaja pamoja sana wakuu.
 
Zuwena...mr Paul huo enjoy!
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…