JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
Ile nyimbo inaimbwa ...unipelekee kwa baba ukanitolee mahari tufunge ndo ndoa ya wote sesa sesa....ivi ni wa nan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kaka huo ni wa Daz nundaz sema na jina la member wa Daz nundaz Scout Jentaz limetajwa sanaFeroz ft Jaymoe-Jirushe
Nahitaji nyimbo hizi, mwenye nazo please
- Inomaic & agalayi..msanii kutoka Uganda
- zuwena.. mr paul
- Jaguar ft Ay
- sirudi tena ft mabeste, jux
- miaka 6 sijazaa + nimpende nani
- elimu mtaani d'knob
- dakika 1
- ni wewe kwenye hii dunia, hard mard
Baba hilo ngoma la dakika 1 Ni hatareeeeeeee.
Hard Mard ft F.A na A.Y_Dakika moja.
Noma mwanangu
Kioo Gwankaja pamoja sana wakuu.
Feroz ft Jaymoe-Jirushe
Thanks mkuu.
Niongeze na HABARI NDIO HIYO.. ay ft Fa
You are right man.... hiyo ni Nizoee yake Critic ft. Daz Nundaz.Hapana kaka huo ni wa Daz nundaz sema na jina la member wa Daz nundaz Scout Jentaz limetajwa sana
Yes Sir umetishaaaaYou are right man.... hiyo ni Nizoee yake Critic ft. Daz Nundaz.
Samahani Mkuu,naomba unisaidie nyimbo zifuatazoMnizoee...!-Critic_Scout Jentaz.
Pamoja kamanda!Yes Sirrrrrrr umetishaaaa
Mkuu naomba za kalamashaka kama unazoHizi hazijaombwa huenda zikawafaa
Old School Hip Hop -Kenya
Hizo nilizoweka hapo ni za jamaa wa Kalamashaka kundi lilikuwa linaundwa na (Kamau,Roba na Jonny Vigeti) na Vigeti ndio alikuwa kichwa kwenye kundi kundi liliyumba baada ya Vigeti kuzamia kwenye madawa ya kulevya na ujambazi .Nitakuwekea nyingineMkuu naomba za kalamashaka kama unazo
Sawa mkuu naikubali sana hiphop ya kenya....kumbe vigeti ni muhanga wa madawaHizo nilizoweka hapo ni za jamaa wa Kalamashaka kundi lilikuwa linaundwa na (Kamau,Roba na Jonny Vigeti) na Vigeti ndio alikuwa kichwa kwenye kundi kundi liliyumba baada ya Vigeti kuzamia kwenye madawa ya kulevya na ujambazi .Nitakuwekea nyingine
Mkuu hongera sana kwa kuhifadhi hazina ya kutosha ya muziki.. Nambie sana wimbo wa Jay moo ft. Dude baya Nadhani na Jos mtambo waitwa nasema nachofanya.
Ukiipata Sanura mkuu nistueSamahani Mkuu,naomba unisaidie nyimbo zifuatazo
1.Sanura by The Late Tongolanga ft Makondeko Music Group
2.My friend remix
3.Pia kuna wimbo aliuimba Picco akimshirikisha Mwana Fa
Inaitwa Safari Njema... wameshirikishwa Dudubaya na ComplexMkuu hongera sana kwa kuhifadhi hazina ya kutosha ya muziki.. Nambie sana wimbo wa Jay moo ft. Dude baya Nadhani na Jos mtambo waitwa nasema nachofanya.