Ile nyimbo inaimbwa ...unipelekee kwa baba ukanitolee mahari tufunge ndo ndoa ya wote sesa sesa....ivi ni wa nan
 
Baba hilo ngoma la dakika 1 Ni hatareeeeeeee.

Hard Mard ft F.A na A.Y_Dakika moja.

Noma mwanangu

Kioo Gwankaja pamoja sana wakuu.
 
Attachments

Hizi hazijaombwa huenda zikawafaa

Old School Hip Hop -Kenya
 
Attachments

Mnizoee...!-Critic_Scout Jentaz.
Samahani Mkuu,naomba unisaidie nyimbo zifuatazo

1.Sanura by The Late Tongolanga ft Makondeko Music Group
2.My friend remix
3.Pia kuna wimbo aliuimba Picco akimshirikisha Mwana Fa
 
Mkuu hongera sana kwa kuhifadhi hazina ya kutosha ya muziki.. Nambie sana wimbo wa Jay moo ft. Dude baya Nadhani na Jos mtambo waitwa nasema nachofanya.
 
Mkuu naomba za kalamashaka kama unazo
Hizo nilizoweka hapo ni za jamaa wa Kalamashaka kundi lilikuwa linaundwa na (Kamau,Roba na Jonny Vigeti) na Vigeti ndio alikuwa kichwa kwenye kundi kundi liliyumba baada ya Vigeti kuzamia kwenye madawa ya kulevya na ujambazi .Nitakuwekea nyingine
 
Sawa mkuu naikubali sana hiphop ya kenya....kumbe vigeti ni muhanga wa madawa
 
Samahani Mkuu,naomba unisaidie nyimbo zifuatazo

1.Sanura by The Late Tongolanga ft Makondeko Music Group
2.My friend remix
3.Pia kuna wimbo aliuimba Picco akimshirikisha Mwana Fa
Ukiipata Sanura mkuu nistue
 
Mkuu hongera sana kwa kuhifadhi hazina ya kutosha ya muziki.. Nambie sana wimbo wa Jay moo ft. Dude baya Nadhani na Jos mtambo waitwa nasema nachofanya.
Inaitwa Safari Njema... wameshirikishwa Dudubaya na Complex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…