Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta ngoma ya K-basil ya kitambo sana inaimbwa hivi:
[emoji444] Chozi ulidondosha...
[emoji444] Moyoni nilikukondesha
[emoji444] Sikuthamini penzi hilo..
[emoji444] Nilikutenda visivyo Shalon
....kama sikosei inaitwa Chozi/ bahati haiji mara mbili mwenye nayo plizzzzzzz
 
Huu hapa. Enjoy
 
Attachments

Wazee wa kazi, leo niko kwenye mtandao. Nimejitahidi kupitia uzi huu kwa kurasa kadhaa na kupakua ngoma za kutosha.

Bado kuna ngoma sijaziona na ninazihitaji kwa mwenye nazo afanye kutupia

Fid Q - Nyimbo zote za zamani
Ray C - Nyimbo za album ya kwanza
Lady Jaydee - Nyimbo za album mbili za kwanza, hasa hasa Wanaume kama mabinti
 
Endelea kupitia zipo hizo zote
 
Zote hizo tumeweka hapa
 
Habar wapendwa Kuna nyimbo mpya inayotamba sasa sijui wanaimba unaweza kuachwa yaan naipenda sijui ntaipaje
 
Msaada tafadhali kwa mwenye ngoma hizi:
Sarafina -TOT Plus
Mpende Akupendaye-TOT Plus
Yatima - TOT Plus
Usiku wa Valentine- Diamond International
Kimalumalu-Diamond International
Natanguliza shukrani.....
 
Mwenye wimbo wa BADI BAKULE na Misambano wakiwa TOT nadhani unaitwa YAMEKUSHINDA...
 
Back
Top Bottom