Shomari SN
Senior Member
- Apr 12, 2018
- 118
- 187
Jamani muwe mnapiti posts za juu. Huu wimbo wa Mike T umewekwa mara kadhaa, pekua hapo juuMike T kama
Natafuta ngoma ya K-basil ya kitambo sana inaimbwa hivi:
[emoji444] Chozi ulidondosha...
[emoji444] Moyoni nilikukondesha
[emoji444] Sikuthamini penzi hilo..
[emoji444] Nilikutenda visivyo Shalon
....kama sikosei inaitwa Chozi/ bahati haiji mara mbili mwenye nayo plizzzzzzz
Mkuu Idimi kuna wimbo wa SUMA G Demu wako nauombaJamani muwe mnapiti posts za juu. Huu wimbo wa Mike T umewekwa mara kadhaa, pekua hapo juu
In fact huu wimbo ni wa Easy I, walikuwa kundi moja na Suma G (hotpot family) pamoja na Soggy. Huu hapa. EnjoyMkuu Idimi kuna wimbo wa SUMA G Demu wako nauomba
Shukrani mkuuIn fact huu wimbo ni wa Easy I, walikuwa kundi moja na Suma G (hotpot family) pamoja na Soggy. Huu hapa. Enjoy
Pamoja sana broShukrani mkuu
Endelea kupitia zipo hizo zoteWazee wa kazi, leo niko kwenye mtandao. Nimejitahidi kupitia uzi huu kwa kurasa kadhaa na kupakua ngoma za kutosha.
Bado kuna ngoma sijaziona na ninazihitaji kwa mwenye nazo afanye kutupia
Fid Q - Nyimbo zote za zamani
Ray C - Nyimbo za album ya kwanza
Lady Jaydee - Nyimbo za album mbili za kwanza, hasa hasa Wanaume kama mabinti
Zote hizo tumeweka hapaWazee wa kazi, leo niko kwenye mtandao. Nimejitahidi kupitia uzi huu kwa kurasa kadhaa na kupakua ngoma za kutosha.
Bado kuna ngoma sijaziona na ninazihitaji kwa mwenye nazo afanye kutupia
Fid Q - Nyimbo zote za zamani
Ray C - Nyimbo za album ya kwanza
Lady Jaydee - Nyimbo za album mbili za kwanza, hasa hasa Wanaume kama mabinti
Zote hizo tumeweka hapa
Habar wapendwa Kuna nyimbo mpya inayotamba sasa sijui wanaimba unaweza kuachwa yaan naipenda sijui ntaipaje