Habari mkuu... kuna wimbo wa Pasha unaitwa Warembo... kama utakuwepo nauomba
 
Ngoja niusake man. Ningejua jina lake ingekuwa rahisi, maana nina oldskool nyingi sana hapa kwangu.
IMEBIDI NIINGILIE HUU UZI
WIMBO UNAITWA SHOW DOWN HIVYO HIVYO.MIMI MWENYEWE NILIUSIKIA MTAA WA MANGOMA NIKAUTAFUTA YOU TUBE NIKAUPATA ILA NIKAJISAHAU NIKAUFUTA NA MPAKA LEO KILA NIKIUCHEKI YOU TUBE SIUPATI TENA SABABU NIMEMSAHAU MSANII.
 
[emoji22] [emoji22] [emoji22] aisee sasa kwanini ukiufuta [emoji24] [emoji24] [emoji32]
 
IMEBIDI NIINGILIE HUU UZI
WIMBO UNAITWA SHOW DOWN HIVYO HIVYO.MIMI MWENYEWE NILIUSIKIA MTAA WA MANGOMA NIKAUTAFUTA YOU TUBE NIKAUPATA ILA NIKAJISAHAU NIKAUFUTA NA MPAKA LEO KILA NIKIUCHEKI YOU TUBE SIUPATI TENA SABABU NIMEMSAHAU MSANII.
Ningepata jina la msanii ingesaidia sana. Maana kutafuta jina la wimbo kwenye huu msitu (more than 100 GB) ni kazi sana man.
 
UZURI MMOJA HUO WIMBO UNAONGOZA KWA KUOMBWA KILA JUMAMOSI KWENYE MTAA WA MANGOMA RADIO ONE HIVYO NITAUSHAZAM NIJUE JINA LA MSANII.
Ningepata jina la msanii ingesaidia sana. Maana kutafuta jina la wimbo kwenye huu msitu (more than 100 GB) ni kazi sana man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…