Fresh kiongozi pamoja sana.

Iliyokuwa bado unasema tu wadau wapo hapa mwenye nayo atasaidia kuweka kwa niaba ya ote sio. Thanks.

Thanks sana mkuu, bado wa Yatima kutoka kwa TOT Plus Band
 
Album zote za justin kalikawe
1mv bukoba
2 dunia inawaka moto
3 korosho,pamoja na nyingine zote ambazo kaimba hata kama za kihaya leta tu nirushie wasap 0787067886
 
Habari bwana Idimi

Kuna wimbo flani hivi wa bongo flava kitambo kidogo
Baadhi ya mashair yake Haya hapa
**Mimi Ni Dr Lida ni msambaa wewe Ni nani Ni msambaa**

Dr Lida_msambaa

Nb.. Msambaa namaanisha kabila.

Nauomba huo wimbo mkuu.

Shukrani.
Enjoy
 
Attachments

Wakuu sijafanikiwa kupata nyimbo za hawaTabata Crew,
laikini pia kuna msanii fulan alikuwa anaimba kwa rafudhi ya kichaga,ni kama anasimulia story hivi mara kuhusu mbege n.k
 
[QUOTE="Gezuz, post: 29590202
laikini pia kuna msanii fulan alikuwa anaimba kwa rafudhi ya kichaga,ni kama anasimulia story hivi mara kuhusu mbege n.k[/QUOTE]
Jamaa anaitwa Saganda wimbo ni Rafael.
huu hapa kama sijakosea
 
Attachments

Aksante sana mkuu
[QUOTE="Gezuz, post: 29590202
laikini pia kuna msanii fulan alikuwa anaimba kwa rafudhi ya kichaga,ni kama anasimulia story hivi mara kuhusu mbege n.k
Jamaa anaitwa Saganda wimbo ni Rafael.
huu hapa kama sijakosea[/QUOTE]
 
Album zote za justin kalikawe
1mv bukoba
2 dunia inawaka moto
3 korosho,pamoja na nyingine zote ambazo kaimba hata kama za kihaya leta tu nirushie wasap 0787067886
wengine wataongezea, burudika na hizo kwanza
 
Attachments

Album zote za justin kalikawe
1mv bukoba
2 dunia inawaka moto
3 korosho,pamoja na nyingine zote ambazo kaimba hata kama za kihaya leta tu nirushie wasap 0787067886
 
Attachments

Naomba wimbo waliomba bendi moja inaitwa MVIKO SOUND nyimbo inaitwa UMASIKINI NI WANGU
“Umasikini ni wangu mimi eeeh unanichekacheka nini tenaa mwenyezi mungu ndio alie nijaliaaaah kabla hujafa hujaumbikaaa”humo ndani yupo toto tundu alikuwepo TOT band’kama mazimwi’Thax
 
Ni huu?
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…