Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mimi natafuta nyimbo mbili lakini sijui zinaitwaje na wala kaimba Nani.mmoja una kipengele kinaimbwa_ Mjini umekuja juzijuzi kwenu ulikuwa unafuga mbuzi.sikujua kuwa ni nuksi mpenzi umemkuwadia mdosi._mwingine kuna kipengele kiko hivi= Hoi hoi hoi mimi naliaa Hoi hoi hoi parapanda italia. Yaani nazitafuta sana
Huo wa Kwanza unaitwa rafiki..kaimba suma
lee
 
Feel The Vibes. When Music Was Music. [emoji397][emoji443][emoji445][emoji441][emoji449][emoji450][emoji446][emoji448][emoji1623]
Mkuu naomba wimbo wa TOT kaimba Bad Bakule na Abdul Misambano nadhani unaitwa Mambo huyawezi sijui kama nimepatia..
 
Wakuu mko poa??

Ebana kuna wimbo wa kitambo kidogo unaitwa KILIO CHA MAMA muimbaji nimemsahau ila Ni MWANAMKE.

naomba tafadhali


#kidikudi
#idimi
#kioo
#gwankaja

Noma mwanangu.

Boooooooooooom.
 
Kuna jamaa aliwahi kutoa ngoma moja sikumbuki jina lake wala huo wimbo ckumbuki unaitwaje..

Chorus kuna sehem anaimba

Ajali haipingiki asiye na bahati habahatiki/
Ng'ombe wa maskini hazai akizaa huwa ni maksai/

Ija maudhui flan iv ya kuhuzunisha km 'dunia mapito' ya matonya
 
mwenye wimbo unaitwa mtazamo umeimbwa na GG,( Godfrey Geoffrey) nauomba[emoji120][emoji120]
 
"Neema" wa Diamond Sound (Dar es Salaam Kibinda Nkoi) waimbaji wakiwa akina Alain Mulumba Kashama,Richard Mangustino,Elly Chinyama,n.k
 
Back
Top Bottom