dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Huo wa Kwanza unaitwa rafiki..kaimba sumaMimi natafuta nyimbo mbili lakini sijui zinaitwaje na wala kaimba Nani.mmoja una kipengele kinaimbwa_ Mjini umekuja juzijuzi kwenu ulikuwa unafuga mbuzi.sikujua kuwa ni nuksi mpenzi umemkuwadia mdosi._mwingine kuna kipengele kiko hivi= Hoi hoi hoi mimi naliaa Hoi hoi hoi parapanda italia. Yaani nazitafuta sana
Mkuu naomba wimbo wa TOT kaimba Bad Bakule na Abdul Misambano nadhani unaitwa Mambo huyawezi sijui kama nimepatia..Feel The Vibes. When Music Was Music. [emoji397][emoji443][emoji445][emoji441][emoji449][emoji450][emoji446][emoji448][emoji1623]
NomaaaaaaaaaaaaaaaFeel The Vibes. When Music Was Music. 📯🎼🎶🎤🎷🎸🎹🎺🥁
Lost Boyz-Jeeps,Lex Coupes,Bimaz & Benz
Tuangalie vizuri usituvalie mawani, usishangae ukiniona nipo na Jay Moe, Jaffarai, Kelvin na Mchiz Moxx!!! Noma sana hili track ...Kuna hili dude la wateule napenda jinsi mchizi mox alivotembea nayo
Enjoy!
Kaka Hii ni moja ya ngoma nazozipenda.....ni takribani miaka kama 15 imepita ila ujumbe uleule wanaopiga kelele wasanii wa leo!Msaada wa nyimbo za pfof Jay tahmini na yataka moyo
Asante sana mkuu.Kaka Hii ni moja ya ngoma nazozipenda.....ni takribani miaka kama 15 imepita ila ujumbe uleule wanaopiga kelele wasanii wa leo!
huo ndo ule anauliza mke ni ndugu au rafiki??mwenye wimbo unaitwa mtazamo umeimbwa na GG,( Godfrey Geoffrey) nauomba[emoji120][emoji120]
Pamoja sana kaka....Asante sana mkuu.
ishawekwa rudi NyumaWakuu nisaidieni wimbo: Voice Mail wa Oten ft Hard Mad