Niko sahihi mkuu hiyo desole ni mchanganyiko wa nyimbo zote alizopiga nene tchakou ndiyo akaziweka zote zikawa kwenye nyimbo moja ikaitwa desoleUna uhakika na jina la wimbo? Nina nyimbo kadhaa za Nene Tchakou lkn sijauona huo
Tazama ramani utaona nchi nzuri tanzania plz kaka ntafutie huu wimbo
Aliyeomba hii .....nishamsahau nimeshindwa kumquote
Habari za asubuhi wakuu.
Tafadhali naomba hii nyundo.
Juma nature_Mugambo
Natanguliza shukrani wakuu.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Wakuu kibao cha ..."mtazamo" kilichoimbwa na Prof J na Afande sele ....mwenye nacho nakiomba
Wanaitwa Choka Mbaya Sisters wimbo. unaitwa Yatima..'Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa' ferouz aliimba na wadada Fulani hivi...nimeutafuta wee lakini wapi...please kwa alienao atupie hapa
'Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa' ferouz aliimba na wadada Fulani hivi...nimeutafuta wee lakini wapi...please kwa alienao atupie hapa
'Vina kati mwanzo na mwisho Imeimbwa' na Fid Q mwenye hiyo ngoma aitupie
Mkuu una naommba pia ngoma ya Gangwe Mob-life la uswaziWanaitwa Choka Mbaya Sisters wimbo. unaitwa Yatima..
Habari za maandalizi wakuu.
Mwenye wimbo walioshirikiana ROMA, MONI, JOSE MTAMBO unaitwa "Tunakesha baa"
Tafadhali nauomba.
Shukrani.
Mkuu una naommba pia ngoma ya Gangwe Mob-life la uswazi