Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Tazama ramani utaona nchi nzuri tanzania plz kaka ntafutie huu wimbo
 
Una uhakika na jina la wimbo? Nina nyimbo kadhaa za Nene Tchakou lkn sijauona huo
Niko sahihi mkuu hiyo desole ni mchanganyiko wa nyimbo zote alizopiga nene tchakou ndiyo akaziweka zote zikawa kwenye nyimbo moja ikaitwa desole
 
Wakuu kibao cha ..."mtazamo" kilichoimbwa na Prof J na Afande sele ....mwenye nacho nakiomba
 
Wakuu msaada nyimbo hizi za Kikosi cha Mizinga...

1. Wabishi Wa Dar es Salam

2. Ukisanda unaacha game...
 
'Vina kati mwanzo na mwisho Imeimbwa' na Fid Q mwenye hiyo ngoma aitupie
 
Habari za maandalizi wakuu.

Mwenye wimbo walioshirikiana ROMA, MONI, JOSE MTAMBO unaitwa "Tunakesha baa"
Tafadhali nauomba.

Shukrani.
 
'Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa' ferouz aliimba na wadada Fulani hivi...nimeutafuta wee lakini wapi...please kwa alienao atupie hapa
 
Wadau natafuta wimbo wa vijana jazz band unaitwa VIP mwenye nao naomba anisaidie
 
Back
Top Bottom