1. Mkuu naomba ngoma ya kitambo ya Professor J kamshirikisha Fanani inaitwa Mamsap
2. Naomba na ngoma ya HBC inaitwa Kubwa kuliko.
 
Kaka am sorry tunasumbua ila sabanu tuna passion kwa muziki.... kuna ngoma Solid Ground Family ina maneno Ee Mola Makosa yetu...... nimetafuta nimeikosa please kama unayo pia!
inaimbwa Eeh Mola Tusamehe Makosa yetu... binadamu duniani hatuna chetu??
 
Wimbo upo kwenye album ya darubin Kali, unaombea, "nasikitika kunitosa bila kosa mamaa, najua ipo siku moja wewe utakuja nikumbuka" nisaidie
 
Ngoma nnayo hiyo kesho ntaitupia kaka..." hali yangu Mi na wee ilikuwa ni kushi wawili ,ila umebadilika mi na wewe basi..... nakupenda sana,ingawa roho inauma kwa kuwa umebadilika mimi na wewe basi" Afande sele ft. Mzee wa kikulacho Mr. Nice..
 
Sio huo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…