Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa mkuu..Shukrani sana mkuu!!
Kaka am sorry tunasumbua ila sabanu tuna passion kwa muziki.... kuna ngoma Solid Ground Family ina maneno Ee Mola Makosa yetu...... nimetafuta nimeikosa please kama unayo pia!poa mkuu..
inaimbwa Eeh Mola Tusamehe Makosa yetu... binadamu duniani hatuna chetu??Kaka am sorry tunasumbua ila sabanu tuna passion kwa muziki.... kuna ngoma Solid Ground Family ina maneno Ee Mola Makosa yetu...... nimetafuta nimeikosa please kama unayo pia!
1. Mkuu naomba ngoma ya kitambo ya Professor J kamshirikisha Fanani inaitwa Mamsap
2. Naomba na ngoma ya HBC inaitwa Kubwa kuliko.
BWV hao...Kuna ile nyingine "barabara za mwanza zirekebishwe' daah namiss sana those old days
Nnayo hiyo ngoma ya Mwanza Zirekebishwe Barabara yake Filbert Kubago...... kesho ntakutupia kakaKuna ile nyingine "barabara za mwanza zirekebishwe' daah namiss sana those old days
Yeaaa wanaitwa Boys With Voice aka BWV...BWV hao...
Nnayo hiyo ngoma ya Mwanza Zirekebishwe Barabara yake Filbert Kubago...... kesho ntakutupia kaka
Ngoma nnayo hiyo kesho ntaitupia kaka..." hali yangu Mi na wee ilikuwa ni kushi wawili ,ila umebadilika mi na wewe basi..... nakupenda sana,ingawa roho inauma kwa kuwa umebadilika mimi na wewe basi" Afande sele ft. Mzee wa kikulacho Mr. Nice..Wimbo upo kwenye album ya darubin Kali, unaombea, "nasikitika kunitosa bila kosa mamaa, najua ipo siku moja wewe utakuja nikumbuka" nisaidie
Nnayo hiyo ngoma ya Mwanza Zirekebishwe Barabara yake Filbert Kubago...... kesho ntakutupia kaka
One love kaka...Daah utakua umenisaidia sana mkuu...thanks in advance!!
Mzigo huo kaka enjoy....Wimbo upo kwenye album ya darubin Kali, unaombea, "nasikitika kunitosa bila kosa mamaa, najua ipo siku moja wewe utakuja nikumbuka" nisaidie
Siouni nduguMzigo huo kaka enjoy....
Sio huo....Ngoma nnayo hiyo kesho ntaitupia kaka..." hali yangu Mi na wee ilikuwa ni kushi wawili ,ila umebadilika mi na wewe basi..... nakupenda sana,ingawa roho inauma kwa kuwa umebadilika mimi na wewe basi" Afande sele ft. Mzee wa kikulacho Mr. Nice..