[emoji27] [emoji27] [emoji27] Nilikuwa ninazo kama zote yaani sijui ikawaje zika corrupt,ila hakija haribika kitu nikizi download upya nitakudondosheaNoma sana mkuu
Kama una makwaito mengine makali ukiacha yale ya jamaa aliyoweka Kule ktk post za juu
YADONDOSHE hapa mkuu
#SmartGuy
Next tm uwe makini mkuu[emoji27] [emoji27] [emoji27] Nilikuwa ninazo kama zote yaani sijui ikawaje zika corrupt,ila hakija haribika kitu nikizi download upya nitakudondoshea
just wait mkuu...
Smart guy
Hakika mkuu, yaani nimeumia kichizi yaanNext tm uwe makini mkuu
Hayo mavitu yana umuhimu wake mkuu wng
Pamoko babaaaaaa
Safy safy tu mkuu.Hakika mkuu, yaani nimeumia kichizi yaan
Smart guy
Version zote mbili hizo hapo. EnjoyNgoja nikusaidie.
Wimbo unaitwa: Turn your light low
Kaimba Lauryn Hill nadhani wanaitwa Fugees..ngoja wataalamu waje..but nakumbuka aliimba wimbo huo.
Thanks kiongozi..kwa niaba ya yule mdauVersion zote mbili hizo hapo. Enjoy
nimeusaka bila mafanikio. can you help?Mkuu huu wimbo ushawekwa humu, we angalia thread za zamani utaupata
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo wimbo namba 3 unaitwa "Titamtambuaje". Ninao ila sijajua uko folder gani. Nausaka. By the way nimekuongezea za ziada. EnjoyKuna hizi kiongoz Kama utakuwa nazo itakuwa poa pia
1-Tanga kunani
2-Kero(umeme na maji)
3-Nitamtambuaje
4-Walimu
Zote za wagosi wa kaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wimbo gani kwani?nimeusaka bila mafanikio. can you help?
wimbo mgeni ulioimbwa na john cap. komba..Ni wimbo gani kwani?
Enjoy hizo hapo down!Wakuu naomba hizi
Lil dick_freak Friday extended
Florida_helo Friday extended
#Machungwa
#Times9
[emoji23][emoji23][emoji23] acha tuisome namba eeeehHahaaa huu apa Tumeipenda wenyewe
Enjoy mkuuWakuu naomba hizi
Lil dick_freak Friday extended
Florida_helo Friday extended
#Machungwa
#Times9
Mkuu mambo vipi aisee unaweza ni chekia hizo pin hapo down;Enjoy hizo hapo down!
Mkuu naomba untumie wimbo wa 50 cent in da clubNi app moja inaitwa discdj
Smart guy
Unataka extended au official???
Duuuuh wanangu hamkwepeshiEnjoy hizo hapo down!
On 1 & 2 is Deeeeejaay.... BEnjoy mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] noma sanaOn 1 & 2 is Deeeeejaay.... B
Fireeeeee
Fireeeeeee
Boooooooom