Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Aisee, yaani huu ndo' imeshindikana kabisa kupatikana wajameni..!!?

CC KIOO
gwankaja
Idimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu.
Huu wimbo ninaoutafuta ulipigwa na East African Melody ya kipindi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ngoma ilitoka miaka ya 96 au 97 na iliimbwa na East African Melody... sauti moja balaa yake Zuhura Bint Shaabani. Hakuna Tenda Hakuna Buzi ndo jina la nyimbo kuna mistari anasema "Umebeba begi watafuta buzi..mchezo gani huo, wa kurudi nyuma huo wa kuruka ukuta" nadhani na ndipo neno la kuruka ukuta lilipoanza....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wandugu mwenye hizi zilipendwa
1. Watasema watachoka Mimi nakupenda by Caz T

2. Sikutaka Og, not rmx Version by Unique Sisters

3.Wimbo Wa JD una maneno "Ninachofanya ni kukupenda,milele yote nitakupenda....." Nahisi upo album ya kwanza

4.Nikupe nini Mama Og version by Gk

5.Simulizi za ufasaha by Gangwe Mobb

NATANGULIZA SHUKURANI

Zimepatikana hizo mkuu...
 
Attachments

EA MELODY haikuwepo hiyo miaka uliyotaja. Bendi maarufu za taarab miaka hiyo ni Muungano Cultural Troupe, Tanzania One theatre na wengine. Labda unaongelea 2006/2007
Hiyo ngoma ilitoka miaka ya 96 au 97 na iliimbwa na East African Melody... sauti moja balaa yake Zuhura Bint Shaabani. Hakuna Tenda Hakuna Buzi ndo jina la nyimbo kuna mistari anasema "Umebeba begi watafuta buzi..mchezo gani huo, wa kurudi nyuma huo wa kuruka ukuta" nadhani na ndipo neno la kuruka ukuta lilipoanza....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimepatikana hizo mkuu...
Nikipata hizo mbili zilizobaki ambazo ni "Sikutaka" original version na
"Simulizi za ufasaha" moyo utalipuka zaidi

Daaa asee sikutegemea kama ningepata hizo nyimbo ulizonitumia. Thanx very very very much bro! My complements goes to you brothers, Gwankanja,Idimi Kioo etc coz you are representing the truly legends here!![emoji122] [emoji122] [emoji120]
 
[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Smart guy
machungwa KIOO Idimi @ngwankinija na mkuu Times9 naomba mtupie taarabu moja matata ya East African Taarabu-Selelee kama sijakosea,kuna maneno nikumbatie mpenzi wangu kwenye wivu wajinyonge nini na nini sijui huko!

Kwangu Mimi hii ni taarabu bora kabisa kuliko zote,vocals na production. Japo sipendi taarabu ila hii Mimi na RC Agrey Mwanri tumeisoma!!
 
Ha ha ha haya enjoy mkuu;
 
Attachments

Jaman kuna wimbo aliimba mshiriki aliechukua bongo star search ,uyu mwanamke aliimba iyo siku amevaa kam kijeshi ivi ,dah niliupenda ule wimbo ila ndo sijui ni wa nan

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikusaidie.
Wimbo unaitwa: Turn your light low
Kaimba Lauryn Hill nadhani wanaitwa Fugees..ngoja wataalamu waje..but nakumbuka aliimba wimbo huo.
 
Back
Top Bottom