Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Salam na pongezi nyingi sana wadau mnaofanya kazi kubwa ya kushea nasi nyimbo pendwa. Ombi langu kwa ma-dj waliomo humu pamoja na wadau wengine wooote kwa alie na Dj mix ya ngoma kali mchanganyiko za

1. Slow Gospel za kibongo [hapa zile za kuabudu zinahusika zaidi]

2. Za kubanjuka club

3. RnB

Itapendeza kama zitakuwepo zenye muda takribani saa zima na zaidi.

Wenye nazo tusaidiane hapahapa


Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi nyimbo zina Mb nyingi, in such a way kwamba haziwezi kuwa uploaded kulingana na sera za JF. Ila zipo
 
Umetisha sana mkuu big up sana, Benson hauzimi_extended upo?

Smart guy
Hii sina tatizo kupata instrumentals za kibongo ni mziki sana, Ila kama una instrumental/beat yake nipatie nikuundie Extended song yake..
 
Hii sina tatizo kupata instrumentals za kibongo ni mziki sana, Ila kama una instrumental/beat yake nipatie nikuundie Extended song yake..
Usijali mkuu ninao nimeu extend mwenyewe vipi nikutumie na wewe au???

Smart guy
 
Aisee mi kwenye maktaba yangu nimekutana na huu tu kiongozi. Sasa sjui ndio wenyewe au laa...?
Ndiyo wenyewe, wimbo umeimbwa na Band ya Orchestra Safari Sound, wekitumia mtindo wa Ndekule.

Ila huu naona hausikiki vizuri, ila nisiache kuzitambua juhudi zako asante sana mkuu, bila shaka nawe ni mdau wa mziki huu, tupo pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom