Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Ebu fanya fanya mpango kamanda
Smart guy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu fanya fanya mpango kamanda
Enjoy!Ebu fanya fanya mpango kamanda
Smart guy
Umetisha sana mkuu big up sana, Benson hauzimi_extended upo?Enjoy!
Huu hapa. EnjoyNatafuta wimbo wa Banana Zorro - Mapenzi gani. Tena nikipata instrumental itakua poa sana
Huu hapa. Enjoy
Upo hapo juu. Angalia kuanzia page ya 150 na kuendelea. NilishawekaManzese crew oya oya
Hizi nyimbo zina Mb nyingi, in such a way kwamba haziwezi kuwa uploaded kulingana na sera za JF. Ila zipoSalam na pongezi nyingi sana wadau mnaofanya kazi kubwa ya kushea nasi nyimbo pendwa. Ombi langu kwa ma-dj waliomo humu pamoja na wadau wengine wooote kwa alie na Dj mix ya ngoma kali mchanganyiko za
1. Slow Gospel za kibongo [hapa zile za kuabudu zinahusika zaidi]
2. Za kubanjuka club
3. RnB
Itapendeza kama zitakuwepo zenye muda takribani saa zima na zaidi.
Wenye nazo tusaidiane hapahapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dondosha extended ya thanks god ya Godzilla ft chilamboEnjoy!
Sio mbaya mkuu. Yani nilikuwa nataka niwe naimba mm. Kuna gitaa moja imepigwa ni balaaa
Haya haya haya mkuu changamkia hiyo, soma hiyooooo, soma kwenye ramani,Mkuu dondosha extended ya thanks god ya Godzilla ft chilambo
Hii sina tatizo kupata instrumentals za kibongo ni mziki sana, Ila kama una instrumental/beat yake nipatie nikuundie Extended song yake..Umetisha sana mkuu big up sana, Benson hauzimi_extended upo?
Smart guy
Usijali mkuu ninao nimeu extend mwenyewe vipi nikutumie na wewe au???Hii sina tatizo kupata instrumentals za kibongo ni mziki sana, Ila kama una instrumental/beat yake nipatie nikuundie Extended song yake..
Ndiyo wenyewe, wimbo umeimbwa na Band ya Orchestra Safari Sound, wekitumia mtindo wa Ndekule.Aisee mi kwenye maktaba yangu nimekutana na huu tu kiongozi. Sasa sjui ndio wenyewe au laa...?
Yeah tumaUsijali mkuu ninao nimeu extend mwenyewe vipi nikutumie na wewe au???
Smart guy
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Haya haya haya mkuu changamkia hiyo, soma hiyooooo, soma kwenye ramani,
Kama una hii CHID BENZ - POMPOMPO PISHA XTENDZUsijali mkuu ninao nimeu extend mwenyewe vipi nikutumie na wewe au???
Smart guy