Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Ninao ngoja nitaupandisha
Smart guy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninao ngoja nitaupandisha
Ngoja nitaichekiKama una hii Jaffarai ft lady jay dee-sio kweli extended nipe pia..
Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
Enjoy mkuuYeah tuma
Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
Kamata hiyo mkuu
Poa na hii CHID BENZ - POMPOMPO PISHA ExtendedNgoja nitaicheki
Smart guy
If possible nipate na crip yake aloimba ile siku,naomben wakuu mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu mim nikiwa naimba kam naongea iviHebu jirekodi kidogo tuskie labda tutaujua mkuu. Ahsante.
Dah mkuu mim nikiwa naimba kam naongea ivi
Inshort kwa aliekua anafuatilia atakua anajua kwan aliimba vizur saan na alivaa ki unique saaan,,,,nahitaj ule wimbo saan,yaan jina tu la wimbo na alieimba basi,zen kuupata ni president saan
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha,mkuu kweli hunitakii mema wew,,Hata ukiongea haina shida kwa sisi wenye vibes za music tutakuwa tumeshajua ni wimbo gani unaouzungumzia mkuu.
Jirekodi japo kidogo kiongozi tuuskie tukusaidie kuupandisha hapa jukwaani mkuu. Thanks.
Doooh itabidi namba za wasap zihusike hapaHizi nyimbo zina Mb nyingi, in such a way kwamba haziwezi kuwa uploaded kulingana na sera za JF. Ila zipo
Ha ha ha ha,mkuu kweli hunitakii mema wew,,
Afande sele kweny wimbo wa mtazamo alisema sio lazim wote tuimbe,wengine tubaki kuwa mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya haya haya mkuu changamkia hiyo, soma hiyooooo, soma kwenye ramani,
Aisee, yaani huu ndo' imeshindikana kabisa kupatikana wajameni..!!?Mwenye wimbo wa taarab, wa zamani kidogo kiitikio wanaimba maneno haya " nafanya hesabuuu sipati jawabu... mchezo gani huo, wa kurudi nyuma huoo... wa kuacha yako huo... Wa kuruka ukuta huooo..." [emoji444][emoji445]
Cc KIOO gwankaja
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, yaani huu ndo' imeshindikana kabisa kupatikana wajameni..!!?
CC KIOO
gwankaja
Idimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu.Ndugu, library zetu ni kubwa sana (nina 200GB+). Sometimes mtu asipoweka jina la wimbo ama jina la msanii ama bendi inakua ngumu sana kupata wimbo, unless uwe wimbo maarufu sana. Huwa tunajitahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hizi hatujaweka kweli..Wandugu mwenye hizi zilipendwa
1. Watasema watachoka Mimi nakupenda by Caz T
2. Sikutaka Og, not rmx Version by Unique Sisters
3.Wimbo Wa JD una maneno "Ninachofanya ni kukupenda,milele yote nitakupenda....." Nahisi upo album ya kwanza
4.Nikupe nini Mama Og version by Gk
5.Simulizi za ufasaha by Gangwe Mobb
NATANGULIZA SHUKURANI