Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu hapa mkuu enjoy:Safi kamanda wng
Kuna ile ya djcleo inaitwa hands up.
Unayo????
Konki babaaaaaaaaaHuu hapa mkuu enjoy:
Ndiyo mkuu huu hapa enjoyKonki babaaaaaaaaa
Una extended ya nusunusu ya joh makini????
Ni extended intro???Ndiyo mkuu huu hapa enjoy
Ndiyo mkuu we upakue halafu ulete mrejesho.Ni extended intro???
MkuuNdiyo mkuu we upakue halafu ulete mrejesho.
Smart guy
Pamoja sana mtu wanguMkuu
Hujawah kuniangusha
Boooooooooooooooooom
BoooooooooooooomPamoja sana mtu wangu
Smart guy
Kama namuona vileSalam na pongezi nyingi sana wadau mnaofanya kazi kubwa ya kushea nasi nyimbo pendwa. Ombi langu kwa ma-dj waliomo humu pamoja na wadau wengine wooote kwa alie na Dj mix ya ngoma kali mchanganyiko za
1. Slow Gospel za kibongo [hapa zile za kuabudu zinahusika zaidi]
2. Za kubanjuka club
3. RnB
Itapendeza kama zitakuwepo zenye muda takribani saa zima na zaidi.
Wenye nazo tusaidiane hapahapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Fadha baba, hii accoustic Version/ guitar. Vipi hauna full version????
Naona huu ni wa namna yake. Sio original version. Upo vizuri pia.
- Ebu ucheki na huu hapa.
Mkuu ngoja nikipata muda nitakutengenezea kwa kipindi hiki niwie radhi sana mkuu nimebanwa kweli kweli.
ShukraniMkuu ngoja nikipata muda nitakutengenezea kwa kipindi hiki niwie radhi sana mkuu nimebanwa kweli kweli.
Smart guy
Tuko pamoja
Naomba Wimbo Edina, wa Kurugenzi jazz
Tedy Umefilisiwa, band siikumbuki
Mpenzi Nono, pia band siikumbuki
Isihaka wa OSS
Lady Champion, sina hakika na band Kama sio vijana uliimbwa na Washirika Tanzania Stars.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kioo hebu cheki na Kufuli ya Mapenzi yao Kurugenzi Jazz,na kuna mwingine wa Kurugenzi pia una maneno... "Nimepata Habari Kama huna Kazi,Kazi umeacha unazurura tu"Aisee mi kwenye maktaba yangu nimekutana na huu tu kiongozi. Sasa sjui ndio wenyewe au laa...?