wakuu, amani iwe nanyi... naomba msaada wa nyimbo ya tng squad.. inaimbwa napenda unavokata baby girl.. nimeitafuta bila mafanikio...
nilikiwa natafuta ya nini mnataka ya nini mtanaka mazee, nmeshaipata post za juu... mbarikiwe sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba mnisaidie wimbo wa Dogo Hamidu feat Dojo na Domo unaitwa Kwanza.

Natanguliza shukran.
 

Attachments

Mwenye wimbo wa bad bakule na misambano nadhani yupo na Pauline Zongo.. wakati wako bendi ya TOT PLUS....
MSAAADA PLZZZ YAAN LILE SEBENE NALIELEWA SAAANA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongozi wa JF ungeweza kuziweka nyimbo zote mahali mtu akitka anaingia anasearch ili mtu am ambae hakuwepo wakati wimbo umeuploadiwa aweze.kuupata kirahis
 
Jay z - blueprint (mama loves me)
Nautafuta sana huu
 
enjoy mkuu

Halaf mkuu, kuna ngoma moja ya Witness wa Wakilisha ya kitambo sana jina nimesahau mkuu.

Ila ni ngoma ambayo aliitoa wakati anajulikana kwa jina la Bad Gear na sio Witness kabla ya Wakilisha mkuu.

Umeshainyaka mkuu...?.
 
Kuna wimbo nautafuta ila bahati mbaya hata bendi iliyo imba siikumbuki, ingawa kuna baadhi ya mistari naikumbuka kama kuna mtu anaweza kuwa na kumbukumbu ya huu wimbo tafadhari, nisaidie

Mstari una imbwa kama ivi

" Maisha sasa ni magumu ina tubidi tuya bane matumiziii"
Maisha sasa ohoo....! Ni magumuu inatubidi tuyabane matumizi mamaaa,
Maisha sasa mi najuta, jamani inatubidi tuyabane matumizii"
Hiyo ni baadhi ya mistari katika nyimbo iyo tafdhari kama kuna mtu ana kumbuka please assist.

Secret Star

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…