Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Halaf mkuu, kuna ngoma moja ya Witness wa Wakilisha ya kitambo sana jina nimesahau mkuu.

Ila ni ngoma ambayo aliitoa wakati anajulikana kwa jina la Bad Gear na sio Witness kabla ya Wakilisha mkuu.

Umeshainyaka mkuu...?.

Cc gwankaja
 
Kuna wimbo nautafuta ila bahati mbaya hata bendi iliyo imba siikumbuki, ingawa kuna baadhi ya mistari naikumbuka kama kuna mtu anaweza kuwa na kumbukumbu ya huu wimbo tafadhari, nisaidie

Mstari una imbwa kama ivi

" Maisha sasa ni magumu ina tubidi tuya bane matumiziii"
Maisha sasa ohoo....! Ni magumuu inatubidi tuyabane matumizi mamaaa,
Maisha sasa mi najuta, jamani inatubidi tuyabane matumizii"
Hiyo ni baadhi ya mistari katika nyimbo iyo tafdhari kama kuna mtu ana kumbuka please assist.

Secret Star

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu wimbo naufahamu sana. Nadhani upo kwenye library ambayo siko nayo hapa nilipo. Nadhani ni wa Vijana Jazz Band
 
Habar wakuu
Naomba nyimbo ya
T.I.D_Nipe nafasi, original sio rmx
Shukran.
 
Kuna wimbo nautafuta ila bahati mbaya hata bendi iliyo imba siikumbuki, ingawa kuna baadhi ya mistari naikumbuka kama kuna mtu anaweza kuwa na kumbukumbu ya huu wimbo tafadhari, nisaidie

Mstari una imbwa kama ivi

" Maisha sasa ni magumu ina tubidi tuya bane matumiziii"
Maisha sasa ohoo....! Ni magumuu inatubidi tuyabane matumizi mamaaa,
Maisha sasa mi najuta, jamani inatubidi tuyabane matumizii"
Hiyo ni baadhi ya mistari katika nyimbo iyo tafdhari kama kuna mtu ana kumbuka please assist.

Secret Star
Wimbo unaitwa Zainab, ni wa Vijana Jazz Band (Air Pambamoto).
 
Attachments

Back
Top Bottom