Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakaka mambo zenu!!!

Jamani kuna wimbo wa Extra Bongo wameimba, soon Ally Choki alipojitoa Twanga Pepete.
Kwenye mashairi Choki analalamika (anawadiss kina Asha Baraka):

Kila siku kunisema semaaa
Kila siku maneno hayaishii
Mnataka niishi vipi
Kama ni vyenu nimerudishaa
Emama Dube Dubee

Nisaidieni jaman, youtube haupo, kote haupo.
 
Wimbo unaitwa Double Double. Aliimba Ally Choki akiwa na bendi ya Extra Bongo, mara baada ya kutoka Twanga Pepeta. Nadhani KIOO ataupandisha
 
Wakuu naomba kwa mwenye nyimbo za Mubaraka Mwinyishehe Mwaruka atuwekee hapa,napenda sana kusikiliza jumbe zake.

Ikiwezekana zote maana kwa upeo wangu hakuwa na wimbo m'baya hata mmoja.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Wakuu gwankaja KIOO Idimi mnataka kuniambia nyie wote hamna nyimbo za huyu faza?dah msaada wakuu msituchoke.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kuna wimbo flani wa K Basil-jina silikumbuki vizuri, ila kuna maneno kama "ndani ya khanga laini"
Msaada kwa mwenye nao
 
  1. Fouta djallon
  2. Parking ya baba
  3. Dossier du jour
  4. Chantou
  5. Motomolo
  6. Etat civil na
7.Mokuwa..zote za koffi olomide kitambo hicho.
 
Back
Top Bottom