Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Sikiliza huu kama ndio wenyeweIle nyimbo waliimba kina complex,nourah ,suma lee inaitwa TAIFA LA BONGO naomba huo mkuu
Wimbo unaitwa Double Double. Aliimba Ally Choki akiwa na bendi ya Extra Bongo, mara baada ya kutoka Twanga Pepeta. Nadhani KIOO ataupandishaWakaka mambo zenu!!!
Jamani kuna wimbo wa Extra Bongo wameimba, soon Ally Choki alipojitoa Twanga Pepete.
Kwenye mashairi Choki analalamika (anawadiss kina Asha Baraka):
Kila siku kunisema semaaa
Kila siku maneno hayaishii
Mnataka niishi vipi
Kama ni vyenu nimerudishaa
Emama Dube Dubee
Nisaidieni jaman, youtube haupo, kote haupo.
Wakuu gwankaja KIOO Idimi mnataka kuniambia nyie wote hamna nyimbo za huyu faza?dah msaada wakuu msituchoke.Wakuu naomba kwa mwenye nyimbo za Mubaraka Mwinyishehe Mwaruka atuwekee hapa,napenda sana kusikiliza jumbe zake.
Ikiwezekana zote maana kwa upeo wangu hakuwa na wimbo m'baya hata mmoja.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Huu hapa. EnjoyWestlife-hello my love, naomba mwenye nao aa upload hapa jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo unaoutaka una jina gani?
Wenyewe ,shukrani sana mkuuSikiliza huu kama ndio wenyewe
Mkuu naomba unisamehe samahani sana mkuu.Be serious bhana! Utaombaje nyimbo zote?
Haya anza na hizi
Mkuu naomba unisamehe samahani sana mkuu.
7.Mokuwa..zote za koffi olomide kitambo hicho.
- Fouta djallon
- Parking ya baba
- Dossier du jour
- Chantou
- Motomolo
- Etat civil na
Aisee natanguliza shukurani..ni moja ya ngoma za kitambo ninazopenda kuzisikiliza toka kwa huyu nguli..